HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona mtandao upo vizuri leo lakini mambo ni bilabila bado👇
 
Attachments

  • Screenshot_20261012-165755.png
    Screenshot_20261012-165755.png
    505.8 KB · Views: 9
Nipo tgts E chini ya TAMISEMI. Kuchomoka sasa kwenda WeST ndo kamzozo
Mwalimu wangu alienifundisha Hesabu Nikiwa Darasa ka Pili, wakat nipo Mliman mwaka wakwanza nikakutana nae anasoma Pia Masters leo hii ni Makum Mkuu wa Chuo kimoja cha Walimu Kkongwe na kinasifika sana kansa ya Ziwa
 
Wadau ninaomba mnisaidie kuelewa leo nimeona hitch kipengele Chai juu kwenye hilo jedwali kimeongezeka kinaashiria nini wataalamu?
 
Attachments

  • Screenshot_20261013-023117.png
    Screenshot_20261013-023117.png
    417.7 KB · Views: 8
Mwalimu wangu alienifundisha Hesabu Nikiwa Darasa ka Pili, wakat nipo Mliman mwaka wakwanza nikakutana nae anasoma Pia Masters leo hii ni Makum Mkuu wa Chuo kimoja cha Walimu Kkongwe na kinasifika sana kansa ya Ziwa
Kuchomoka TAMISEMI kuja Wyest mbona ni simple tu
 
Ndo unipe muongozo mkuu
Ingia kwenye mfumo wa ESS, kisha tafuta MOEST (Ministry of Education, Science and Technology). Watakukubalia (accept) kwa haraka. Ukifika huko, waombe wakupangie kwenye Vyuo vya Ualimu. Kumbuka unahamia huko na mshahara wako wa sasa tu, kwa sababu Vyuo vya Ualimu havina scale (mshahara) yao ya pekee
 
Fafanua kidogo hapa! Kwamba MOEST huwa wanaajiri walimu kufundisha Vyuo vya ualimu na kuwalipa kwa TGTS?
 
Taasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.

Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kumbe inawezekana kuhama ukiwa masomoni?
 
Ingia kwenye mfumo wa ESS, kisha tafuta MOEST (Ministry of Education, Science and Technology). Watakukubalia (accept) kwa haraka. Ukifika huko, waombe wakupangie kwenye Vyuo vya Ualimu. Kumbuka unahamia huko na mshahara wako wa sasa tu, kwa sababu Vyuo vya Ualimu havina scale (mshahara) yao ya pekee
Asante mkuu....niende kwenye normal transfer/vacancy transfer au niende module gani pale ESS
 
Wakuu, Hivi kwa mtu ambaye hajafikisha miaka 3 kazini, anaweza kuhama kwa kutumia mfumo_endapo atakuwa na sababu maalumu??
 
Back
Top Bottom