last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,765
- 4,006
Yaani uchawi ni hiyo connection, Yaani ikatokea hata mtu anasema 5 au ten mbona rahisiTafuteni connection watumishi, hamtahangaika na huo mfumo wenu.
Yaani uchawi ni hiyo connection, Yaani ikatokea hata mtu anasema 5 au ten mbona rahisiTafuteni connection watumishi, hamtahangaika na huo mfumo wenu.
Na kule unakohamia walipitisha kabisa au ilikaaje?
Kingine ombi likifika utumishi kama ulianza na vacancy na ikapita inabid usogee utumiahi utafute mtu wa connection apush.Maana vacancy hio mnakuta mmeiiomba watu 10 na wpte ikakubali sasa jiulize why kati ya hao 10 wakupe wew,hapo ndio unatakiwa upande juu.Yan ikifika utumishi panfa utumishi.Labda kama nasfi imeombw ana wachache kupata ni rahis.Mim ikifika utumish aisee nasoge huko sitakosa mtu
Yaani uchawi ni hiyo connection, Yaani ikatokea hata mtu anasema 5 au ten mbona rahisi
Hata hizo rejection zenu ni kukosa watu, unakaa na komputa tu uombe nafasi EWURA upate kisa umeona nafasi? Hujui kama ni nafasi ya mtu hiyo.Yaani uchawi ni hiyo connection, Yaani ikatokea hata mtu anasema 5 au ten mbona rahisi
😂 Au TPDC, PSSSFHata hizo rejection zenu ni kukosa watu, unakaa na komputa tu uombe nafasi EWURA upate kisa umeona nafasi? Hujui kama ni nafasi ya mtu hiyo.
Hapa ndio patamu sasaNilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Ulienda ukatafuta mtu,au unatumia simu? Hakuna waokubali kwa simu labda uwe unamjua au kupitia mtu.Vinginevyo fika pale tafuta kishoka fully stop.Vingenevyo tutahangaika sana.Nasubiria yangu ikifika utumishi .Naenda nitawapa mrejesho.Mkaa bure sio sawa na mtembea bure.Ndugu hii me nimepambana nayo sana jamaa wa utumishi wenyewe tu kwanza hawatak mazoeaaa nimekula majibu makavu sana kwa hawa watu ikafika time nikasema basi liwalo na liwe
Huwez vuka,labda upate uhamisho wa moja kwa moja kutoka Utumishi.Wadau ikiwa NOT BUDGETED mnavukaje hapo
Ulienda ukatafuta mtu,au unatumia simu? Hakuna waokubali kwa simu labda uwe unamjua au kupitia mtu.Vinginevyo fika pale tafuta kishoka fully stop.Vingenevyo tutahangaika sana.Nasubiria yangu ikifika utumishi .Naenda nitawapa mrejesho.Mkaa bure sio sawa na mtembea bure.
achana nae tafuta chaka zuriMe kuna jamaa nipo nae hapa kazini ni ndugu yake yupo huko alizungumza nae ili aniunganisha nae jamaa akjibiwa nilishaa kusaidia wewe kwahyo tulia, mwengine nae jamaa ake alimpigia ili aniunganisha nae akamjibu achana nae afate taratibu za kwenye mfumo mwengine kasema lipo nje ya uwezo wangu wakati unajua yeye kwa kiasi flanii ni daraja
Hivi Madam, yako si ilishaenda Utumishi..?Wadau ikiwa NOT BUDGETED mnavukaje hapo
achana nae tafuta chaka zuri
Hizo 10% unazipeleka wapi kaka😂90% utumishi wapo fair
Hivi Madam, yako si ilishaenda Utumishi..?
Haiwezekani huo mfumo upo chini ya ofisi ya utumishi.Hivi maafisa utumishi swala la NOT BUDGETED hawawezi kuchezesha ikafunguka?
Huo wa moja kwa moja unakuaje kuaje mkuu?? Mfumo unahusika au pasipo mfumo??Huwez vuka,labda upate uhamisho wa moja kwa moja kutoka Utumishi.
Utumishi ilienda Mwezi wa Ngap?Yah kk nimetuliaa sema nilichojifunza mapambano yanatakiwa kuanza mapema sana nje ya mfumo yaani ukija kwenye mfumo wala hautesekii