HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu nisaidieni hapo natokajae,nikisubmit inaniandikia hvyo
Pole, hiyo ni kama Vacancy not budgeted ikiganda hivyo basi imeganda. Wengine Huwa wanaiacha kwa uvumilivu, Kuna siku unaweza kujaribu na ikaenda. Ni Taasisi gani inatoka yenye watumishi wachache kwa kada yako mkuu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…