Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

Yaani hata kabla sijasoma mtoa mada nlivoona tu mada nikasema mashambwa ulingoni. Nafasi za u dc zimekata, tungoje mmoja adondoke
 
Wizara ya Ardhi mambo yashaiva
Ww endelea kupiga mapambio tu
 

Attachments

  • Screenshot_20230203-042357_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230203-042357_Samsung Internet.jpg
    45.1 KB · Views: 2
Wizi na ufisadi wa wakati huu, utavunja record zote trust me

Hakutakuwa na awamu ambayo ela zitaibwa na hakuna kitu cha maana hata cha kuonekana Kwa macho ambacho utakiona

Mnasema magu mwizi Sawa but wizi wake unafaida Kwa baadhi ya watu na wizi wake kuna vitu unaweza kwenda kushuhudia Kwa macho yako

Ila this time tutapigwa kama tulivyopigwa kwenye vyuma na vibao vya anuani za mitaa hahaha
 
Serikali gani kupambana na mabadhilifu mkuu, hii hi ya "kuleni urefu wa kamba" hii hii ya "hilo nalo kalitizameni" ?!
 
Watanzania tunachezewa mno.

Hatujawahi kuwa serious


Mfano mafuta ya diesel ambayo ndiyo yanatumika kwenye mashine na vyombo vya usafiri bei ipo juu.

Gharama za maisha zitaachaje kuwa juu??

Bado tupo kimya na viongozi wetu hawataki kuwajibika wala sisi hatutaki kuwawajibisha.
 
Zinapigwa sana vipi wewe hazijakutembelea?
Watakiona Cha Moto watakao Bainika,Nafikiri uliona baadhi ya wakurugenzi wa Halmashauri licha ya vyeo vyao lakini waliburuzwa mahakamani kujibu mashitaka yao
 
Watanzania tunachezewa mno.

Hatujawahi kuwa serious


Mfano mafuta ya diesel ambayo ndiyo yanatumika kwenye mashine na vyombo vya usafiri bei ipo juu.

Gharama za maisha zitaachaje kuwa juu??

Bado tupo kimya na viongozi wetu hawataki kuwajibika wala sisi hatutaki kuwawajibisha.
Suala la mfumuko wa Bei na mikakati ya kupambana nalo Rais Samia anapaswa kupongezwa maana alipambana kijasiri na kuibuka shujaa,mfano kwenye mafuta serikali ilianzisha utaratibu wa makusudi wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi hatua iliyoleta ahueni ya Bei hapa nchini,Na Ikumbukwe kuwa mafuta hayakupandishwa Bei na serikali ya CCM Bali uliotokana na kupanda katika sokonla Dunia kulikosababishwa na Vita ya ukrein
 
serikali gani kupambana na mabadhilifu mkuu, hii hi ya "kuleni urefu wa kamba" hii hii ya "hilo nalo kalitizameni" ???!
Rais wetu mpendwa alimaanisha kuwa kila kiongozi atosheke na kipato chake anachostahili kupata kwa mujibu wa sheria na katiba,siyo kuingia Tamaa ya kujipatia mali kinyume na utaratibu wa kisheria
 
Back
Top Bottom