Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
 
Utalii upi???
nnavyoelewa mm masuala ya utalii ni seasonal and its not its season saiv
season inaisha mpaka january katikati, apa dec bado ni high season watu wengi wanakua likizo wanakuja sana uku lakini pia kwa upande wa utalii sehem zingine kama kupanda mlima kuna ongezeko kubwa sana hivo serikali inatakiwa kuangalia namna ya kutia ndege za direct
 
Mbn mimi siwaoni mkuu au unazungumzia mlima gan???
I do those staffs and kiukwel kumedorora
 
unapenda sana siasa chafu, andiko linasema hoteli zimejaa wewe unasema hakuna watalii duu
 
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
Hapo imeongelewa historia, trend ya tangu 2019..

"He said local airports handled two million passengers in 2019/2020 financial year before rising to four million in 2021/2022, before gain surging to 7.4 million passengers in 2024/2025 financial year as post-Covid recovery accelerates and tourism gains momentum..."

Pili, gazeti la Daily News ni machawa kama TBC, hawaaminiki, kuandika propaganda na uongo mtupu ndiyo kazi yao.

Hakuwezi kuwepo watalii wengi kipindi hiki kwa sababu ya kukithiri kwa utekaji na ujinga ujinga tele..

we jamaa bana, news inasema kabisa current status ni hoteli zimejaa unaleta siasa

alafu daily news na tanzania wap wap, na pia tanzania ndo backbone ya tourism duniani hakuna nchi inakuja hata robo ya tanzania

watii hawaji kwa sababu ya siasa zenu bali kampuni za utalii hua znafanya promoshen katika nchi nyingi duniani ikiwemo referal kutoka kwa watalii wengine, na pia watalii sio machoko kama nyie kwamba hawajui siasa, ata tukiwapa mwaka mzima wa kueneza propaganda bado tz haikwepeki
 
mpaka samia anamaliza mwaka mtakua mshapauka kwenye mashimo 😂😂
 
Upumzishe iko kinyeo kwa sasa kaa ndani wacha wanaume tutoke
wanaume walikua na msimamo 29 nyie wengine wadada tu, wenye msimamo walishakata moto ksa msimamo wao, nyie wadada tu kazi kulia mitandaoni
 
Back
Top Bottom