Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
Kwanini ziongezwe 2 na sii 20?
 
Nyie ndo washauri wa bi chura?!
kazi kweli kweli

Anywaw 9dec...
 
acha uongo najuana na mtu yuko serengeti watalii ni wengi andiko lenyewe linasema hoteli zimejaa
Serikali yenu haisafishiki tena, imeloa damu za raia wake. Watanzania wameamka sana, sio wale wa mwaka 70, so propaganda zenu zimefeli na zitaendelea kufeli pakubwa sana
 
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
"Bora ukose mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho" Banzastone
 
we jamaa bana, news inasema kabisa current status ni hoteli zimejaa unaleta siasa

alafu daily news na tanzania wap wap, na pia tanzania ndo backbone ya tourism duniani hakuna nchi inakuja hata robo ya tanzania

watii hawaji kwa sababu ya siasa zenu bali kampuni za utalii hua znafanya promoshen katika nchi nyingi duniani ikiwemo referal kutoka kwa watalii wengine, na pia watalii sio machoko kama nyie kwamba hawajui siasa, ata tukiwapa mwaka mzima wa kueneza propaganda bado tz haikwepeki
Mama yako washabinya...anananza kulia lia kuwa hakopeshwi..sasa kama kulikuwa na mmbadala wa kuwa hela ya watalii inatosha hivo vilio vilikuwa vya nn?
 
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
Hakuna hiyo awamu mpya. Damu iliyo mwagika bado inachemka na nyinyi mlio imwaga ni muhimu mshughulikiwe kwanza.
Unaleta habari za utalii tena mara hii? Wewe unadhani mliua mende?
 
Sir God alipiga mvua ya sku 40 na dunia nzima wakakata moto kasoro familia ya noah ndo unalia hao wachache wa tz
 
Mama yako washabinya...anananza kulia lia kuwa hakopeshwi..sasa kama kulikuwa na mmbadala wa kuwa hela ya watalii inatosha hivo vilio vilikuwa vya nn?
kwan mikopo wanatoa IMF peke yake?
 
Back
Top Bottom