Hao ndio watalii waliojaa kwa sasa Tanzaniawamejaa sana mwana nyamala
Tarehe 9 inakaribia kuwatoa kinyesi, mnahaha sana, mnatapatapa kweli kwelina ukileta ujuaji 9 dec utajua kama ni maji au nn
EEeeeenHEEeeee!Sir God alipiga mvua ya sku 40 na dunia nzima wakakata moto kasoro familia ya noah ndo unalia hao wachache wa tz
Mamlaka yanayokufuga wewe kama nguruwe yabaki huko huko kwenu.Heshimu mamlaka ilio juu yako
Mamlaka kwa nguruwe kama nyinyi, si kwa binaadamndo yashakua mamlaka
Mtu kama wewe sina shaka tena kuwa huna mategemeo zaidi ya matumaini ya Samia kubaki madarakani. Siku atakayo anguka ndiyo mwisho wa mategemeo yako.ukimaliza kupiga kelele utatuambia