stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Wanu mwambie Mama Steki ipo kazini Jf.😁😀😀😀😀😀😀😀
nyiee!!
Kamba yake ishaandaliwaasante mkuu, kukaa miaka 40 madarakani sio kazi ndogo
Tunajuzwa kuwa maiti zingine huwa unalala nazo ndani, na damu ulikunywa kama lita 50 hivi.Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
![]()
Tourism boom fuels air travel surge - Daily News
TANGA: TANZANIA’S aviation sector is experiencing a sharp rise in passenger numbers, driven by rapid growth in tourism and major investment projects, with air travellers increasing by 16 per cent since 2020, according to the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA). TCAA Director General Mr...dailynews.co.tz
Haina shida yoyote imekaa vizurisasa hashtag ina shida gan
Duuh😄😄
Unafanya biashara ya utalii.? Niko kwenye industry hii mwaka 20 sasa na currently niko Zanzibar, WAGENI NI WACHACHE SANA, na kuna hotels zimetoa likizo kwa wafanyakazi wako, tena ni Beach Front Hotels.season inaisha mpaka january katikati, apa dec bado ni high season watu wengi wanakua likizo wanakuja sana uku lakini pia kwa upande wa utalii sehem zingine kama kupanda mlima kuna ongezeko kubwa sana hivo serikali inatakiwa kuangalia namna ya kutia ndege za direct
acha uongo najuana na mtu yuko serengeti watalii ni wengi andiko lenyewe linasema hoteli zimejaaUnafanya biashara ya utalii.? Niko kwenye industry hii mwaka 20 sasa na currently niko Zanzibar, WAGENI NI WACHACHE SANA, na kuna hotels zimetoa likizo kwa wafanyakazi wako, tena ni Beach Front Hotels.
Acheni huu uchawa

Kumbe unajuana na mtu.? So unaleta habari za kuambiana ambazo huna evidence! Nonsenseacha uongo najuana na mtu yuko serengeti watalii ni wengi andiko lenyewe linasema hoteli zimejaa
Mkuu hilo gazeti ni la nchi gani?Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani