Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

Mtu kama wewe sina shaka tena kuwa huna mategemeo zaidi ya matumaini ya Samia kubaki madarakani. Siku atakayo anguka ndiyo mwisho wa mategemeo yako.
si bado yuko kwahio tulia nifaidi nchi
 
si bado yuko kwahio tulia nifaidi nchi
Kutokana na unavyo hangaika hapa sasa hivi ni wazi kabisa kuwa umekwishajuwa mmefikia kikomo chenu. Samia mwisho wake umefika; na kwa maana hiyo hata nyinyi mifugo yake hamna tena matarajio juu yake.
 
nlijua ni tar 29, kumbe mmesogeza tena basi acha tuenjoy izi sku chache
 
Huwezi ku'enjoy' chochote wakati unajuwa saa yoyote utafurumshwa. Hiyo ndiyo hali ya maisha inayowakabili sasa hivi.

Unahangaika hapa na kuanzisha mada za kipuuzi ukidhani zitakupunguzia maumivu; lakini wapi?

Wewe ni kama nguruwe ambaye ameandaliwa tayari kuwa kitoweo. Utapewa makombo ya kukuwezesha kuishi ukisubiri tu hatma yako.
 
wewe ni citizen kwahio tuliza komwe, huezi shindana na mamlaka ata sku 1
 
Back
Top Bottom