season inaisha mpaka january katikati, apa dec bado ni high season watu wengi wanakua likizo wanakuja sana uku lakini pia kwa upande wa utalii sehem zingine kama kupanda mlima kuna ongezeko kubwa sana hivo serikali inatakiwa kuangalia namna ya kutia ndege za directUtalii upi???
nnavyoelewa mm masuala ya utalii ni seasonal and its not its season saiv
Mbn mimi siwaoni mkuu au unazungumzia mlima gan???season inaisha mpaka january katikati, apa dec bado ni high season watu wengi wanakua likizo wanakuja sana uku lakini pia kwa upande wa utalii sehem zingine kama kupanda mlima kuna ongezeko kubwa sana hivo serikali inatakiwa kuangalia namna ya kutia ndege za direct
Siyo siasaunapenda sana siasa chafu, andiko linasema hoteli zimejaa wewe unasema hakuna watalii duu
Mm sjui wanapataje taarifa ila onfield mambo syo mazuri....labda tusubirie season ya dec to februarybasi tuseme daily news waongo maaana mm sipo uko nasoma news kama ilivoandikwa
Hapo imeongelewa historia, trend ya tangu 2019..Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
Tourism boom fuels air travel surge - Daily News
TANGA: TANZANIAβS aviation sector is experiencing a sharp rise in passenger numbers, driven by rapid growth in tourism and major investment projects, with air travellers increasing by 16 per cent since 2020, according to the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA). TCAA Director General Mr...dailynews.co.tz
we jamaa bana, news inasema kabisa current status ni hoteli zimejaa unaleta siasaHapo imeongelewa historia, trend ya tangu 2019..
"He said local airports handled two million passengers in 2019/2020 financial year before rising to four million in 2021/2022, before gain surging to 7.4 million passengers in 2024/2025 financial year as post-Covid recovery accelerates and tourism gains momentum..."
Pili, gazeti la Daily News ni machawa kama TBC, hawaaminiki, kuandika propaganda na uongo mtupu ndiyo kazi yao.
Hakuwezi kuwepo watalii wengi kipindi hiki kwa sababu ya kukithiri kwa utekaji na ujinga ujinga tele..
PostGE2025 - Video: Kijana akitekwa na watu wenye silaha nzito Arusha
Kwa hali hii Rais anasimama anauliza vijana waliandamana kudai haki gani? Matukio ya utekaji na watu kupotea kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana limeanza kukemewa hata kabla ya uchaguzi na hii ndiyo mojawapo ya sababu ya vijana kuamua kuingia barabarani lakini leo hii Rais hajui Ni huzuni...share.google