Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

Kwanini ziongezwe 2 na sii 20?
 
Nyie ndo washauri wa bi chura?!
kazi kweli kweli

Anywaw 9dec...
 
acha uongo najuana na mtu yuko serengeti watalii ni wengi andiko lenyewe linasema hoteli zimejaa
Serikali yenu haisafishiki tena, imeloa damu za raia wake. Watanzania wameamka sana, sio wale wa mwaka 70, so propaganda zenu zimefeli na zitaendelea kufeli pakubwa sana
 
"Bora ukose mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho" Banzastone
 
Mama yako washabinya...anananza kulia lia kuwa hakopeshwi..sasa kama kulikuwa na mmbadala wa kuwa hela ya watalii inatosha hivo vilio vilikuwa vya nn?
 
Hakuna hiyo awamu mpya. Damu iliyo mwagika bado inachemka na nyinyi mlio imwaga ni muhimu mshughulikiwe kwanza.
Unaleta habari za utalii tena mara hii? Wewe unadhani mliua mende?
 
Hakuna hiyo awamu mpya. Damu iliyo mwagika bado inachemka na nyinyi mlio imwaga ni muhimu mshughulikiwe kwanza.
Unaleta habari za utalii tena mara hii? Wewe unadhani mliua mende?
Sir God alipiga mvua ya sku 40 na dunia nzima wakakata moto kasoro familia ya noah ndo unalia hao wachache wa tz
 
Mama yako washabinya...anananza kulia lia kuwa hakopeshwi..sasa kama kulikuwa na mmbadala wa kuwa hela ya watalii inatosha hivo vilio vilikuwa vya nn?
kwan mikopo wanatoa IMF peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…