Hahaa.
BureHivi kuukana uraia mtaji wake ni hadi uwe na sh ngapi
Omba nafasi za Kazi jeshi la Marekani ukale kuku ukraine au afghanistan fasta tu unapata kama umri unaruhusu under 24 kutumikia jeshi la Marekani ni heshima pia ni rahisi kupata maisha USA. Kuna binti wa jirani yetu yupo UK anatupia gwanda za jeshi la Uingereza akiwa anakula kwata lakini ni mbongo sijui kaingiajeHivi tunaukania wapi maana mm nishachoka bora niukane hapa Tz niombe ukimbizi huko Norway au ujerumani
Passport yangu ya Tanzania ime expire na sina mpango wa kui renew.Ukitoa pesa
Kisheria inabidi wewe mwenyewe urudishe passport yako Tanzania na kuwaambia wewe ni Raia wa Marekani.
Sababu sheria za Tanzania zinasema hazikubali uraia pacha.
Ameze hio siri akiropoka tu zikifika watachek kwenye data base za watu kuingia nchini watamprintia ripoti zake ataoneka si raia, watamnyoosha.Alirudi na Yabrazil hata kiswahili kinamcheza
mawazo ya kijijini hayaKukana utanzania ni sawa na Kuna ndugu zako, Namin wengi wao kama sio wote watakua wanawake
Mm naona haya mambo hayana issue hata ukiiukana ukitaka kurudi kuwa nyumbani unarudi na unaendelea na maisha yako. Kuna Jamaa yetu mmoja alikaa brazil miaka 30[emoji38][emoji23][emoji1787] Karudi juzijuzi tu anauraia wa Brazil na Passport ya Brazil hataki tena kurudi Brazil anaotesha tu vitu ardhini na ashapata passport ya hapa Tz bado Nida navenginevyo nasemaga hivi akitaka kuondoka siwatamdaka huyu.
naunga hoja mkono.Wanaukana then wanapambania dual citizenship juu kwa juu huko. Wakati hapa kwetu bado tunapambania na sticker za nenda kwa usalama na traffic anakuandikia fine 30,000.
***Vitambulisho vya MIDA kupata nako ishu, tumebaki na namba tu
Ujinga.Hao ni “watu wetu” wako kwenye kazi maalum.
Kwani wanaopata uraia wa nchi zinazojitambua huwa wanapoteza muda wao kutoa taarifa uhamiaji?Mmh kwa uingereza hao mbona wachache sana,nnaowajua binafsi wanazidi kumi,tena hapo sijawahesabu wale waliojiripua.
Duh, hivi huo ujinga bado upo tu? Division 1 point 33 zinafanya kazi take.sticker za nenda kwa usalama na traffic anakuandikia fine 30,000.
Wapo wengi tu wameukana Wana uraia wa nchi nyingine na mishe wanapiga pande zote.Unatakiwa uukane kisheria Mkuu.... sio kwa maneno matupu
Aliwaonyesha hao uhamiaji kwamba mipaka ni mistari ya kwenye ramani tu, katika utafutaji halisi haipaswi kuwanyima watu fursa.Dunia hii unaweza kuwa na passport hata kumi na ukaishi unavyotaka
Namjua mzee mmoja aliingia Tz na alipitia jirani akiwa na pasi 7 yes Saba
Alitoa ya kwanza walipomhoji lugha ikawa haipandi vizuri akaona isiwe shida akatoa ya taifa lake asilia
Wakabaki kushangaa alipotoa zote na kuwaambia wachague wanayotaka na wagonge visa ya entry
Dunia hii nimezunguka na passport tatu halali
Kama hamtokubali dual sisi tuna triple [emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwaonyesha hao uhamiaji kwamba mipaka ni mistari ya kwenye ramani tu, katika utafutaji halisi haipaswi kuwanyima watu fursa.