Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Mafisadi wakiwa na neema hawawakumbuki Raia, ila wakishaanz akufumuana Risasi wanataka kufanya hiyo vita ni ya Nchi nzima wakati sio kweli.
Wajikalie pembeni Miamba ipambane
'Vita havina macho', hao wananchi wa kawaida ndio waathirika wakuu wa vita popote inapotokea duniani.
Hiyo pembe unayotaka wakae ni ya wapi?!
Vita ni hadithi tamu kwa asiyehusika ila ni MZIGO MZITO kwa wahusika.
 
Jeshi letu linawasaidia Wacongo lakini na wenyewe inatakiwa wajitambue. Haiingii akilini nchi yenye utajiri na diaspora wengi miji yake kutekwa na kikundi tu cha watu. Congo kama wako serious waingie mkataba na Tanzania na South Africa ili kwa malipo/makubaliano maalum tuwalinde walau kwa muda wa miaka 20 huku wakiendelea kujenga upya mifumo yao ya kiuulinzi. Vinginevyo Tanzania na South Africa nazo zitauchoka mgogoro huu na hapo ndipo Congo itakapo pata hasara kubwa zaidi.
 
Hata Donald Trump ni Dictator tyu. Na ameshasema, watashughulikia wachina kwanza, halafu waje kulokota "rare earth" minerals.

Hizi sio vita zamasikini.
Wenyewe banakunywa kofi
Trump ni mpuuzi.
 
DRC inaathiriwa na utitiri wa majambazi kutoka nchi mbalimbali.Ni nchi tajiri kuliko zote duniani kwa upande wa mali asili.Huu utajiri ndio unaoivuruga DRC maana inatolewa macho na kila nyang'au.
 
Mnachezeshwa ngoma msiyoijua na msisahau mnauchaguzi October 😁😁
 
Kwa maana hio mpaka sasa wjeshi tishio la SADC ni SANDF ya south africa pamoja na JWTZ ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…