Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

"Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi?"

Tatizo ni zile kauli kwamba Sisi ni matajiri na tunafanya miradi hii kwa kodi za watanzania
 
watanzania hata uwakumbushe aliyoyafanya jpm bado wanaona ndoto sio kweli wacha mungu atuletee ukame ndio utajua kama ulikuwa hujui
... MNAANZA KUOMBA 'NATURAL CATASTROPHIES' ZILIANGUKIE TAIFA YAANI!
POLENI! ... HIZO NI HARUSI ... YAANI KIFO CHA WENGI!
 

Unayasoma wapi ya kukopa unaouongelea unayoyaongelea kiongozi?

Kama donor country hatukukopa kwenye awamu ya tano, tulikuwa tukitumia pesa zetu wenyewe.

Ninakazia - awamu ya tano hatukukopa kabisa!
 
Alikuwa mwizi,muuaji na asiyependa kuona watu wakiishi vzr kwa haki!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Bora angeiba tu akaenda zake. Lakini hili la kuua na kutesa wanaomkosoa ni DOA kubwa kwenye uongozi wake. Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuitwa Rais bora kwa sababu aliyajua vizuri madhaifu ya mtangulizi wake maana alifanya kazi chini yake kwa miaka 10. Lakini kilichompelekea kuruhusu Mauaji, Mateso na ubambikiaji kesi kwa Watanzania wenzake!!!!! Duh! Mungu amrehemu.
 
Mikopo kila kila Kijiji nchi nzima maisha yalikuwa rahisi Sana tofauti na sasa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]

This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.
Hii siyo kweli.
Kajifunze kuhusu Nyerere utakuja kurekebisha hoja yako.
 
Hamna kitu hapa. Maneno meeeeeeeengi EVIDENCE UNJUSTIFIABLE!
 
Watu kama nyinyi ndiyo mnalifanya taifa letu lizidi kuwa masikini wa kutupwa
 
Mpango hapo hawezi chomoka. Probably ndiye mlemgwa pamoja na akina Dotto. Ila swali ni kwamba hii Inawezekana kwenye serikali na Bunge hili? Ile fear aliokuwa ya Magufuli kwa wateule wake inamsaidia sana Maza kufanya kazi zake.
Kufanya kazi kwa uoga au hofu ni ujinga mtupu na kama taifa hatuhitaji kuendelea kuishi kwenye utawala wa kuishi kwenye hofu
 
Hata hio awamu ya tano kulikua na majizi makubwa na misuse ya resources. Na wizi huenda ukawa makubwa zaidi, let's wait and see
 
Kwani CAG alikuwa hakagui? repoti iliyosomwa baada ya JPM kufariki haikuwa ya ukaguzi?
 
Sasa kwanini alikuwa anajikopea akiwa chumbani kwake..!??

Kwani nchi ilikuwa yake peke yake!??

Acheni kutetea ujinga.
Si angekuwa wazi tuhh!!??
Rais wa sasa, makamu wa Rais wa sasa, waziri mkuu wanajua. Baraza la mawaziri ambao 60% ni wale wale walikuwepo.
 
kwa sasa kuna uhuru wa kuongea na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuwa umesema beleive me tunaomba utupe evidence ya huo wizi awamu ya 5
 
Hapo mtu kaomba tu uchunguzi wa matumizi ya mikopo watu wanakuja na mada kibao zilizo nje ya hoja.

Akija mwingine akaomba uchunguzi wa bei za ndege na utaratibu wa kuzinunua napo zitakuja mada kibao zilizo nje ya hoja.
Nape alikuwa mbunge kipindi cha JPM, kwa nini hakusema pale bungeni kwa sababu wabunge wetu tumewapa kinga. alishindwa ni wakati wananchi wa MTAMA tulimpeleka kutetea haki zetu.
 
Sasa kwanini alikuwa anajikopea akiwa chumbani kwake..!??

Kwani nchi ilikuwa yake peke yake!??

Acheni kutetea ujinga.
Si angekuwa wazi tuhh!!??
Kama ingekuwa chumbani basi tusingejua hizo data kwa sababu zipo BOT tangu 2020
 
Repoti za ukaguzi si zipo si ukasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…