Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
He is among the 6%. Don't underestimate the power of prayer, especially from the people he has uplifted through his dedication to serve the public.
Sisi public tuombe Mungu afanye nini maana hatujui kinachoendelea!
 
Kijana
Kumbe Rais wa nchi hapasi kuumwa / kuugua na akiugua tuu nchi inakuwa hatarini!!
Sasa mkuu hujui umuhimu wa taasisi ya uraisi?chochote hatarishi kiachotokea kwa raisi kinatishia usalama wa nchi.
 
Alitakiwa aende Uingereza akose michango AFE siyo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Hawezi kufa kirahisi hivyo kwani muda wote kabla ya kufa huko alipata wapi mpunga? Kifo ni mpango wa muumba kila ndege huruka kwa mbawa zake.
 
Mimi naona tokea majuz mpka sku inayofaa tungelikosa internet nchi nzima potelea mbaliiii
 
Bibi shikamoo vipi siku hizi huji msoga kutusalimia wajukuu zako
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe 😳
Mtu wa kwenu huyo ni mgeni au kijana
all in all ugonjwa ni ugonjwa sasa mambo yabadilike, upendo na amani vifuate
watu wasameheane waliotishiwa kuuawa waliosingiziwa kesi, waliokosa vyeti halali, waliobomolewa, waliotumbuliwa ni zaidi ya 25% ya watanzania wanaumizwa.
Ubabe utaisha na muda utatamalaki kwa maombi yetu na muda ukiwadia atafuata mwingine kama Katiba yetu inavyosema tena kwa demokrasia.
Wewe wa Masasi acha kulia kila masika na mvua zake mafuriko na neema ziwafikie na wengine basi
 

Afie huko!
 
Lisemwalo lipo na kama halipo laja. Haiwezekani kuitisha tu kikao cha baraza la Mawaziri eti Bwana mkubwa ameugua ghafla. Kikao hiki hakiitishwi hovyo eti kijadili afya ya mtu. Nadhani kuna kubwa zaidi ya hili.

Sasa nikiangalia viongozi wawili wa juu, kuna uwezekano mmoja wao kumrithi bwana mkubwa kwa kipindi cha mwaka moja uliobaki. Je wasawahili wanarudi tena ktk siasa zetu!

Let us wait the truth na muda utaongea.
 
Shilingi ina pande mbili.
Kuna upande wa kusifu na upande wa kukosoa. Itabakia kuwa hivyo milele.
 
Mimi mkristo naambiwa ktk biblia kuomba bila kukoma,kama nakukera mkuu zima data wewe
Mungu huombwa mara moja tu na husikia. Sasa wewe hiki unacho kifanya umu ni kumkufuru Mungu tu chakufanya zima data subiri majibu aliye kwambia Mungu huombwa uku kwenye mitandao ni nani?

Na aliye kwambia kuwa Rais anaumwa ni nani?
 
Wanataman RAIS afe waendeleze madili yao

Huu ni upepo tu utapita , wapinzani tushawazoea
 

Nani kakwambia wananchi wote tunampenda?

Atleast myself hapa,will never like that nigga!

Never!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…