Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

Unavyoishi na watu pindi unapopata matatizo ndio muda muafaka wa kupata mrejesho. Haya ni automatic by nature. Kama kuna mazuri kafanya huo ni wajibu wake, ila hilo halizuii watu kuonyesha hisia zao, hasa kama hakuwatendea sawa. Kama wewe unaona ana mazuri muombee maana hiyo ni haki yako, sio lazima na wengine nao wafanye utakavyo ww.
 
Tukijulishwa kwamba anaumwa push up zitakosa legitimacy maana pale Lumumba push up Ni kama almas
 
Ndo kusema kusini ni pazito kuliko gamboshi
 
Huyu wetu haiwezekani akae miezi mitatu bila kuonekana. Hata wiki moja itazua taharuki kwasababu yeye mwenyewe si MTU wa kujifungia ndani kama mwali.
Mtu yeyeto yule ofisi yake iko kwenye camera hawezipita siku
 
Sasa kila anayeota usiku nakuandika uzushi wawe wanajitokeza mbona watakua hawafanyi kazi zingine kila siku watakua wanakanusha ndoto walizoota watu
 
Atakuwa amenyakuliwa mpaka Msigwa anashindwa kutoka NEWS, maana mara nyingine hata akienda toilet utasikia NEWS za Msigwa.
 
Ni kweli mkuu!
Mi nimeona kule twitter,maria sarungi,zitto kabwe na account yake ya kigogo na hata yule mama fyatu karume woote wameshangilia uvumi ule ,
Lakini bi vema kumjua adui yako kabla.

Yaani hao uliowataja huo utofauti wake na wao ni mpaka apate tatizo ndio ifahamike? Kwani yeye anawapenda hao uliowataja mpaka wao waonyeshe kumpenda? Tena ni vyema hao walioonyesha hisia zao kuliko wanaccm wanaotamani huo uvumi uwe kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…