Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
TAL Yuko wapi? Hajuna ajabu kwa mtu yeyote kutoweka iwapo alihusika kutowesha wenzake.
 
Muda mwengine wapuuzi unawaacha tu waendelee na upuuzi wao sio kila jambo unawajibu... Watakuwa wanakuendesha kwa upuuzi wao
 
Chuma kipo dodoma kimetulia waodhani meli ya mgiriki itatia nanga watasubiri wao
Hivi inakuaje mtu yeye muda wote anafuatilia other people’s businesses ?
When do you get time to work on yourselves and your dreams?

Most Tanzanians are mentally sick people.
 
Kuna mijitu mijinga sana, yaani wewe Raisi usipomuona lazima uambiwe??? huu ni utoto kabisa, Rais ni taasisi kubwa na anaweza akawa na majukumu mengine makubwa yakitaifa ambayo si lazima utangaziwe au uambiwe, anaweza kujipa mapumziko hata ya siku tatu, nne na wasaidizi wake wakawa kazini hizi ni siri za taasisi na watu wa protocal hebu tuache ujinga wa huko tweeter..

Kuna watu wameamua kujipa ajira ya upotoshaji huko tweeter na kugeuza mijitu kuwa mijinga na kupoteza muda huko tweeter kama mipumbavu...
 
Ohooooooooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe wanapima umbeya wa mitandao ha ha ha haaaaaa khaaaaaaaaaaa dah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…