Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAL Yuko wapi? Hajuna ajabu kwa mtu yeyote kutoweka iwapo alihusika kutowesha wenzake.Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.
Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.
Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.
Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
Mungu Fundi jamani!
Tunasubiria Rais wa wanyonge awapongeze Taifa Stars kwa kuotoa Thudan uko kwa General Al Bashar
Sio watu, ni kakikundi flani hivi ambao tunawajua vizuri.
Kuna majitu majinga yanavumisha eti Rais mgonjwa kisa habari zake hazisemwi tangu jana mchana.Kwan kuna uvumi gani kumuhusu Rais ?
Kujiita mnyonge nao ni ufala..wee usiombee jambo hilo sisi wanyonge tutapata tabu sana miaka 60 yote hakuwai kutokea mtu wakutusemea kututetea na kutujali nchi ilikua mikononi mwa majizi ya kila namna..eee mola wangu ibaliki nchi yetu rais wetu na wananchi wote.Amina
..........Huu uzi haujafungwa?
Acha ujinga wewe, hata wewe unaweza kujisemea tu na wanao au mkeo wakakuuliza, sasa ni vyema ukamuuliza huyo uliyemnukuu kunanini hiyo tarehe mpaka aikumbuke.. Acheni kulemaa na huyo jamaa...
Hivi inakuaje mtu yeye muda wote anafuatilia other people’s businesses ?Chuma kipo dodoma kimetulia waodhani meli ya mgiriki itatia nanga watasubiri wao
Kuna majitu majinga yanavumisha eti Rais mgonjwa Lisa habari zake hazisemwi tangu jana mchana.
Hana historia ya kusafiri sanaNasikia yuko ujeremeni
Wakati lissu anatwangwa risasi makonda alisemaje?
Yaani majinga sana. Kwani binadamu kuumwa kuna tatizo gani!Ni mafala kabisa. Hata kama unamchukia lakini si kiivyo