secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Mm nawachanganya nyote....kwenuAjabu sasa pamoja na kujua kusoma na kuandika mimi ndiye hawara wa mama yako wewe unayejua mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nawachanganya nyote....kwenuAjabu sasa pamoja na kujua kusoma na kuandika mimi ndiye hawara wa mama yako wewe unayejua mengi.
Shida ni kunani? Mbona hakuna uwazi?Magufuli yupo na ataendelea kuwepo, Na ikumbukwe kuwa Tanzania haitokuja ipate Rais mwenye uthubutu kama yeye. Mweneyezi Mungu ampe Maisha marefu Mr President.
Viva Tanzania...
Viva Mr President J.P.M
Apate hitilafu kwani yeye ni gari?[emoji57] [emoji57]Ina maana Rais kapata hitilafu?maana ibara ya 37 (5) ndivyo inavyosema
Hakuna kitu, ni maneno ya watu na Kigogo! CIA/ BBC wana mionzi inaonesha Ikulu yote mpaka chooni usipofikiria
Sawa, mimi na mama yako tu ndiyo kiben 10 chakeMm nawachanganya nyote....kwenu
Lakini dhahili tumekuona tamanio lako la kifo. Kutamani ni dhambi sawa na kutenda. Umebakiza kutenda tu.Sijamtaja MTU lakini
Akyame!Afu wewe ndg nadhani ninakufahamu
Hebu nipe screenshot yakeUle utabiri wa lema unataka kutimia??
kwamba mama wa magufuli kafa au?
Mh. ni mzima hana shida yoyote tatizo ni hii habari za umbea zinazotawala humu kumhusu Mh, zinatia hasira sana. Huwezi kumuombea/kumtabiria mtu kifo wakati bado ni mzima.Shida ni kunani? Mbona hakuna uwazi?View attachment 1237469
Mama Samia suluu kawaje kwani?
Bora usielewe tu coz ukidhan umeelewa basi ndo utakua haujaelewa, Afterall it is a useless infoSijaelewa
Kwa mtu anayezuia demokrasi, anasigina katiba, anawatupa ndani wakosoaji na anazuia uhuru wa kujieleza hatumhitaji kamwe.Hakuna kiumbe kibaya na hatari kama mwanadamu. Hapa ndo nauelewa usemi wa "never trust anyone" , kila mmoja ana weakness na strength zake wakuu na siyo kila mmoja utamfurahisha sikuzote na ukiona wewe unakubalika na kila mmoja jua una mapungufu mengi siyo kawaida.
Kiujumla kuna utofauti mkubwa uliopo kati ya mwanasiasa na kiongozi.
Mzee ni kiongozi na siyo mwanasiasa ndo maana wengi hawamkubali, sikuzote kiongozi huwa hakubaliki na wengi.
Mungu azidi kumpigania.
Hata wewe una hitilafu kwenye ubongo wakoApate hitilafu kwani yeye ni gari?[emoji57] [emoji57]
Time will tell. I have a strong feeling that Mr president will make it. He will not die. He will live .