Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Magufuli yupo na ataendelea kuwepo, Na ikumbukwe kuwa Tanzania haitokuja ipate Rais mwenye uthubutu kama yeye. Mweneyezi Mungu ampe Maisha marefu Mr President.

Viva Tanzania...

Viva Mr President J.P.M
Shida ni kunani? Mbona hakuna uwazi?
Screenshot_20191018-195556.jpeg
 
Hakuna kiumbe kibaya na hatari kama mwanadamu. Hapa ndo nauelewa usemi wa "never trust anyone" , kila mmoja ana weakness na strength zake wakuu na siyo kila mmoja utamfurahisha sikuzote na ukiona wewe unakubalika na kila mmoja jua una mapungufu mengi siyo kawaida.

Kiujumla kuna utofauti mkubwa uliopo kati ya mwanasiasa na kiongozi.

Mzee ni kiongozi na siyo mwanasiasa ndo maana wengi hawamkubali, sikuzote kiongozi huwa hakubaliki na wengi.

Mungu azidi kumpigania.
 
Shida ni kunani? Mbona hakuna uwazi?View attachment 1237469
Mh. ni mzima hana shida yoyote tatizo ni hii habari za umbea zinazotawala humu kumhusu Mh, zinatia hasira sana. Huwezi kumuombea/kumtabiria mtu kifo wakati bado ni mzima.

Hili suala moderators kuacha habari kama hizi zinazomchafua kiongozi wa nchi kuna uwalakini ndani yake.
 
Kwani Rais leo Ijumaa amefanya kazi gani?

Msigwa mbona hajapost wala tbc haiajapost chochote

Mzee jana alikua na hasira sana.

Leo nini kimefanyika.
 
Hakuna kiumbe kibaya na hatari kama mwanadamu. Hapa ndo nauelewa usemi wa "never trust anyone" , kila mmoja ana weakness na strength zake wakuu na siyo kila mmoja utamfurahisha sikuzote na ukiona wewe unakubalika na kila mmoja jua una mapungufu mengi siyo kawaida.

Kiujumla kuna utofauti mkubwa uliopo kati ya mwanasiasa na kiongozi.

Mzee ni kiongozi na siyo mwanasiasa ndo maana wengi hawamkubali, sikuzote kiongozi huwa hakubaliki na wengi.

Mungu azidi kumpigania.
Kwa mtu anayezuia demokrasi, anasigina katiba, anawatupa ndani wakosoaji na anazuia uhuru wa kujieleza hatumhitaji kamwe.

Hata angekuwa anajenga barabara KM 1000 kila mwezi na kununua Airbus 1 kila mwezi hatumtaki. Maendeleo ya vitu hayana maana kama tutakuwa tunaishi kwa kuogopa kuongea tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom