Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana,hata kama mtu humpendi ni bora kukaa kimya,sasa nimeona kuna comments hapo juu zinadai Lissu kuna watu walishangilia sana,nikweli namm niliona.....Ila uovu kwa uovu hausababishi jambo kuwa sahihi,hii inaonyesha ni namna gani siasa zitu zilivyo na inaonyesha hata aongoze nani nchi hii wote ni walewale t
 
Kwani kuna nini waungwana? Mbona kila mtu anaongea kwa code tu? Kwenye ishu za Uwoya mlisema hadi connection tusio na connection tukanyamaza yakapita, kwa Menina mkasema hivyo hivyo na tusio na connection tukatoka patupu sasa na hapa tena mnazunguka zunguka tu wakuu, Dah, tusio na connection tuna tabu sana, KWANI KUNA NINI JAMANIIIIIIIII, AAAAAAAGH!!😤😤😤🤧🤧🦴
 
Kama uzushi tu wa kwamba anaumwa wameshangilia namna hii Twiter ,vipi siku anasitaafu?
Itakuwa kicheko kikubwa kwa mafisadi chadema
Wewe endelea kuwazia Chadema, maombi mabaya sana yako ndani ya wenye narudia, wenye ccm wenyewe.
Sitaki kutaja mkoa lakini Sikh za karibuni nilimsikia mmoja wa makatibu wa mkoa akisema maneno kumhusu bosi wenu nikashangaa sana maana hata kiongozi wa kutoka upinzani hawezi kuwa na chuki hizo.
Tafunaneni tuu mpaka mtabaki mifupa huku mkiitaja Chadema
 
Nakuta ni vita kuu btn JiwelifeFigters na JiweLifeHaters


Kwani kunaaaaaaniiii?

Nawasihi waTANZANIA tuwe na subra
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom