Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hiyo ni kulingana na wewe.Akiwa na upumbavu katika mambo mengine lakini sio katika Hilo.
Kama Mungu yupo basi hizi habari zetu za sadaka,kusali na ma hovyo hovyo mengine hayajui nafikili alijenga ulimwengu akazeeka akafaMimi ili niamini tena kuna Mungu lazima nimuone. Haiwezekani kukawa na Miungu zaidi ya 3,000 lakini wa kwako ndiyo wa kweli na wengine ni wa uongo.
Baada ya kuhoji maswali yasiyokuwa na majibu ya moja kwa moja na kubaki njia panda imani yangu ilitoka 50% mpaka 0%. Sijawahi kuamini dhana ya kuwa kuna Mungu kwa 100%
Mungu anaedaiwa kwamba ni yeye kaunda akili ya binadamu iliyopo limited wala hapaswi kukasirika wengine wakisema hayupo , hapo sioni sababu ya wewe kusema asiye amini ni mpumbavu kwa sababu hata wewe unae amini hauwezi kuthibitisha unachokiamini 🤔🤔🤔🤔Kwa Sababu Akili ya binadamu Iko limited,
Ingekuwa Akili ya binadamu ni infinity tusingekuwa na haja ya Kuamini.
Akili ya binadamu inategemea milango ya fahamu àmbayo Iko limited ili kuthibitisha uwèpo wa Jambo.
Mfano, MTU àmbaye ni kiziwi au kipofu Huwezi kuniambia kwamba anatakiwa kujua kûna kitu kinaitwa sauti ambacho tangu kuzaliwa hajawahi kukisikia.
Au Mtu àmbaye NI kipofu Huwezi kumtaka ajue uwèpo wa Nuru àmbayo tangu kuzaliwa hakuwahi kuiona.
Hivi Siku kipofu tangu kuzaliwa àmbaye hajawahi kuona Mwezi Hapo angani akikuambia hakuna Mwezi utamthibitishiaje?
Moto wa nyokoo ha ha ha kutishana tu mi pepo yangu ni hapa hapa duniani nikiwa na furaha hapa inatosha na nikila msoto ndo moto wangu ila nafanya jitihada kimatendo ili nirudi peponi kwangu kwenye amapianoUtachomwa moto shauri yako.
Kwanza Mungu gani anatetewa na binadamuMungu anaedaiwa kwamba ni yeye kaunda akili ya binadamu iliyopo limited wala hapaswi kukasirika wengine wakisema hayupo , hapo sioni sababu ya wewe kusema asiye amini ni mpumbavu kwa sababu hata wewe unae amini hauwezi kuthibitisha unachokiamini 🤔🤔🤔🤔
Mkuu ni bora uamini hata kama hayupo haitakupunguzia chochote kuliko ukute yupo na haujaamini utaona cha mtema kuni, utapigwa kibiriti halafu haufi unateseka tu milele mkuu🤔Moto wa nyokoo ha ha ha kutishana tu mi pepo yangu ni hapa hapa duniani nikiwa furaha hapa inatosha na nikila msoto ndo moto wangu ila nafanya jitihada kimatendo ili nirudi peponi kwangu
Niliiona Hii kitu Nikasema..
Kama Mungu hausiki na mabaya au uovu, Pia Mungu huyohuyo Hausiki na mema na mazuri yoyote.Mungu hausiki na mabaya au uovu wowote, wala haruhusu uovu au mabaya yatokee.
Binadamu haihitaji Mungu yeyote yule kujua na kufanya wema au ubaya.Wewe usipotambuwa kwa akili ukweli, usipojua jambo lipi ni jema utasababisha hasara, uharibifu, uchungu, maumivu na vifo; utaingilia mpangilio wa shughuli za vitu vingine.
Mkuu sisi ni mawaka wake 🤗Kwanza Mungu gani anatetewa na binadamu
Sasa Umkute Hayupo wapi??Mkuu ni bora uamini hata kama hayupo haitakupunguzia chochote kuliko ukute yupo na haujaamini utaona cha mtema kuni, utapigwa kibiriti halafu haufi unateseka tu milele mkuu🤔
Mkuu mimi nataka kuanza kuamni Mungu ila nashindwa kujua Mungu yupi ni sahihi kwa sababu naona kila mwamba ngozi huvutia kwake😊😊😊😊 nachanganyikiwa kabisa🤔Niliiona Hii kitu Nikasema..
Wakifa Wote Utasikia Heri na Shari Zinatoka kwa Mungu wakipona Mungu kasaidia..
Mungu anaye tetewa na Binadamu, Ni Mungu mdhaifu na mchovu sana.Kwanza Mungu gani anatetewa na binadamu
Ajabu kila mtu ana Mungu wake na kila mtu anajiona yuko perfect 100%.Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda
Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Mkuu yesu alitwaliwa mawinguni kwenda kwa baba mbele za wanafunzi wake mbinguni itakua ni juu 🤔 na parapanda na baragumu zikilia tutamwona akishuka mawinguni kama njiwa , kila jicho litamwona , kwa kanisa lililopo Buza andika ✍️Sasa Umkute Hayupo wapi??
Au Umkute Yupo wapi?
Mimi Mtu akinijibu Mbinguni ni wapi nitakubaliana naye vizuri..
Na Tunaenda kwa mwili Upi?
Huu wa nyama au Wa Mwili na Kama wa Nyama Vipi kuhusu Tunapokufa?
Na kama wa Roho unawezaje Kuichoma Roho ambayo ni Upepo na unawezaje kula maziwa na asali kwa mwili wa Upepo
Kwamba??Mpumbavu haamini uwèpo wa Mungu
Ndiyo ajabu hiyo, jeshi nao wakaja baadae sana. Nji hii bana.Wachina ambao Watanzania tunawahesabu hawana Mungu kwa scenario ya ajali kama ile ya Kariakoo wangeweza kuokoa watu wengi zaidi kwa muda mfupi na kwa ustadi,
Waafrika wengi wanaabudu Mungu asiyekuwepo au asiyeonekana
Tino Hapa umedanganya Mungu ndo anausika na Uovu wote na Ubaya wote..Mungu hausiki na mabaya au uovu wowote, wala haruhusu uovu au mabaya yatokee.
Wewe usipotambuwa kwa akili ukweli, usipojua jambo lipi ni jema utasababisha hasara, uharibifu, uchungu, maumivu na vifo; utaingilia mpangilio wa shughuli za vitu vingine.
Kipi kiarabu hapo mjukuu?😂😂Kwamba??