DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mimi Ninaamini Mungu yupo Ila ninaamini yumo ndani yangu wala sio nje kokoteMkuu mimi nataka kuanza kuamni Mungu ila nashindwa kujua Mungu yupi ni sahihi kwa sababu naona kila mwamba ngozi huvutia kwake😊😊😊😊 nachanganyikiwa kabisa🤔
Mkuu unataka kusema wewe ndio Mungu?Mimi Ninaamini Mungu yupo Ila ninaamini yumo ndani yangu wala sio nje kokote
Hapo ndo walikosea Sana Maana Juu ya Dunia kuna Mars na chini ya Dunia kuna Venus and Vice versa...Mkuu yesu alitwaliwa mawinguni kwenda kwa baba mbele za wanafunzi wake mbinguni itakua ni juu 🤔 na parapanda na baragumu zikilia tutamwona akishuka mawinguni kama njiwa , kila jicho litamwona , kwa kanisa lililopo Buza andika ✍️
Ngoja nisome kitabu cha ufunuo mwanzo mwisho leo🤔Hapo ndo walikosea Sana Maana Juu ya Dunia kuna Mars na chini ya Dunia kuna Venus and Vice versa...
Hivi unajua Hilo Fungu/aya ya Kupaa Iliongezwa Haikuwepo kwenye Manuscrips za Zamani?
Ni vigumu kumuona mtu akishuka Mawinguni kwa Pamoja...
Unless Earth is Flat
Mkuu yesu alitwaliwa mawinguni kwenda kwa baba mbele za wanafunzi wake mbinguni itakua ni juu 🤔 na parapanda na baragumu zikilia tutamwona akishuka mawinguni kama njiwa , kila jicho litamwona , kwa kanisa lililopo Buza andika ✍️
Hata Hapa Tanzania serikali yetu Haina Dini(haiamini katika mîungu)
Juu mawinguni mbingu ya saba😊Juu ni wapi ndugu nabii?
Kwahiyo waliokufa pale ndo wapumbavu,waliokuwa hawamwamini Mungu?...na pia huyo Mungu akaamua kuwaokoa wachache ili waende wakamshukuru?.... Na pia huyo Mungu ndo aliruhusu hilo janga litokee....?🤔🤔🤔🚮Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda
Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Sijui Mungu hasikii?😁😁😁😁Hata muombe vipi majanga yapo na yataendelea kuwepo
Zaburi 82:6..Mkuu unataka kusema wewe ndio Mungu?
Mpumbavu haamini uwèpo wa Mungu
UnitagKwa nini unaona tunapaswa kuamini na sio kujua mkuu?
Zaburi 14.1Kwa tafsiri ya nani mpumbavu ni asiyeamini uwepo wa mungu?
Watumiwe tutorials na wakina mwamposa kwa njia ya WhatsApp,...Jitahidini ambao bado wamefukiwa huko chini wafuate hizo sheria ili nao watoke salama kama wengine waliotoka hai.
passion_amo1Kwa Sababu Akili ya binadamu Iko limited,
Ingekuwa Akili ya binadamu ni infinity tusingekuwa na haja ya Kuamini.
Akili ya binadamu inategemea milango ya fahamu àmbayo Iko limited ili kuthibitisha uwèpo wa Jambo.
Mfano, MTU àmbaye ni kiziwi au kipofu Huwezi kuniambia kwamba anatakiwa kujua kûna kitu kinaitwa sauti ambacho tangu kuzaliwa hajawahi kukisikia.
Au Mtu àmbaye NI kipofu Huwezi kumtaka ajue uwèpo wa Nuru àmbayo tangu kuzaliwa hakuwahi kuiona.
Hivi Siku kipofu tangu kuzaliwa àmbaye hajawahi kuona Mwezi Hapo angani akikuambia hakuna Mwezi utamthibitishiaje?
Mungu anaedaiwa kwamba ni yeye kaunda akili ya binadamu iliyopo limited wala hapaswi kukasirika wengine wakisema hayupo , hapo sioni sababu ya wewe kusema asiye amini ni mpumbavu kwa sababu hata wewe unae amini hauwezi kuthibitisha unachokiamini 🤔🤔🤔🤔
Kwa tafsiri ya nani mpumbavu ni asiyeamini uwepo wa mungu?
Kila mtu anasema wakwake ndo wa ukweli,...ukimuuliza amekusaidia nini au yupoje,..majibu yake utaishia kuchoka tu,....Mimi ili niamini tena kuna Mungu lazima nimuone. Haiwezekani kukawa na Miungu zaidi ya 3,000 lakini wa kwako ndiyo wa kweli na wengine ni wa uongo.
Baada ya kuhoji maswali yasiyokuwa na majibu ya moja kwa moja na kubaki njia panda imani yangu ilitoka 50% mpaka 0%. Sijawahi kuamini dhana ya kuwa kuna Mungu kwa 100%