Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wachina kutokuamini katika mungu hakujaa leo na hakujaanza juzi tu hapo ukatoliki ulipoanza
Wamekuwa wakiishi hivyo pasipo kuzingatia masuala hayo kwa muda mrefu hata kabla ya ukomunisti na serikali inayotambulika rasmi kuwa ni serikali rasmi inayoishi katika misingi ya ukana Mungu.
Ukatoliki China haujawabadili chochote ila wenyewe ndio wame umebadilisha mpaka papa na Kanisa kila siku wanalia lia kuhusu wachina na serikali yao.
Wachina wengi wanaamini katika Dini za jadi ikiwemo Buddhism.
Wewe unashindwa kuelewa kuwa serikali yao ndio haiamini katika Mungu lakini wananchi waô Wanaamini katika mîungu.
Hata Hapa Tanzania serikali yetu Haina Dini(haiamini katika mîungu) lakini watanzania Karibu wote wanadini íwe za jadi au Dini za kikoloni.
Acha kuchanganya Mambo