Matatizo ya kimaisha hayatatuliwi kwa umri bali shekeli!miaka 62 bado ana piga dili za hatari wakati sie wengine ni under 40 hata michongo halali hatupigi
Akikamatwa Abdul,tunawapa Wahindi Tanzanite vitalu vyote!Kuna Mtanzania alikamatwa huko China akasababisha nchi iingie mikataba ya hovyo ya gesi na Bandari ya Bagamoyo..
Safari hii tunawaokoaje wenzetu? Tugawe nini kwa Wahindi?[emoji1787]
Kwani uwongo Mkuu!!huelewi chochote bado unasoma thread ww.
Warabu wanauza Sana unga Hasa Huko AfughanFanya tafiti hata wanaokamatwa hapa bongo ambao tunaowafahamu wanayofanya biashara hizo za ngada , fuatilia Imani zao, au wale wazamiaji wa Afrika ya kusini wanao uza ngada huko wapeleleze ukikuta 100 basi 90 ni WA kwenu
Hayo majina mbona yanamrengo wa kigaidi.View attachment 2786999
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.
Taarifa zinasema mwanzoni mwa mwezi October chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.
Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa matunda, kwa mujibu wa ripoti walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.
Ayo updates
mwamba imhotep amedeslike.Haya majina ya Kiarabu haya!!!
Acha roho mbaya wewe. Asee dogo njoo nisaidie kuosha mikundu ya wazee hapa. Usijali utatumia mask na gloves. Hata hivyo hamna haja si unajua tena mikundu ya wazungu inatemaga tu manukato?Wanyongwe
Unajua hizo shughuli ni za vijana wa mjini hasa Dar na DSM majority ni waislam ndo maana majina yanajirudia rudia ni sawa na matukio yanayofanyika nyanda za juu kusini ukayahusisha na ukristo kisa majinaFanya tafiti hata wanaokamatwa hapa bongo ambao tunaowafahamu wanayofanya biashara hizo za ngada , fuatilia Imani zao, au wale wazamiaji wa Afrika ya kusini wanao uza ngada huko wapeleleze ukikuta 100 basi 90 ni WA kwenu
Halafu ndio Wales ukiwakuta waking'aka Yesu siyo Mungu hadi mishipa yote ya shingo nije.Hao ni watanzania wengi hutumia majina ya bandia ya sikudanganye, sasa hivi watanzania wote wa nafanana kitabia.
Ni sawa kuhusisha pesa za ndagu za nyanda za juu kusini na ukristo?Nadhani anamaanisha kuwa kuna dini zina mafundisho yanayokosa mkazo wa kufanya kazi kwa bidii. Na kwa sababu mahitaji ya mwanadamu hayategemei wewe ni wa imani gani, hawa watu wasio na mafundisho thabiti ya kujituma kufanya kazi, mwishowe hukimbilia njia za mkato ili wapate kuishi.
Hapa nchini, maeneo mengi walioishi waarabu, kama vile Tabora, Tanga au Ujiji, watu wengi siyo watu wa kujituma, hasa kwenye kazi ngumu. Tena kwenye maeneo hayo, utakuta hali hiyo haitegemei imani ya mtu. Hata kuanza kazi asubuhi, hasa kwa wasioajiriwa, huchelewa sana kuanza.
Kuna njia moja ya uhakika ya kumfanya mtu awe na uhakika wa maisha yake, nayo ni kufanya kazi kwa bidii. Mengine yaliyobakia ni kubahatisha kunakoendana na hatari nyingi.
Siyo wanauza na wanailimaWarabu wanauza Sana unga Hasa Huko Afughan
Wanasema umri ni namba tu😅Miaka 62 bado unauza nganda sasa itakuwaje ?
Nakazia neno ShekeliMatatizo ya kimaisha hayatatuliwi kwa umri bali shekeli!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kwa serikali ya mama?Kama walitokea Tanzania, ichunguzwe ndege waliyoondoka nayo ilikuwa wakkati gani, askari, usalama wa taifa, watu wa forodha waliokuwepo siku hiyo wote ni wahusika. Waliowasindikiza pia waytaonekana kwenye cctv, wote wamo hao.
Inawezekana Mussa ni CristianHaya majina ya Kiarabu haya!!!
Christian ni MosesInawezekana Mussa ni Cristian
Serikali ya tec.K
Kwa serikali ya mama?