Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

Fanya tafiti hata wanaokamatwa hapa bongo ambao tunaowafahamu wanayofanya biashara hizo za ngada , fuatilia Imani zao, au wale wazamiaji wa Afrika ya kusini wanao uza ngada huko wapeleleze ukikuta 100 basi 90 ni WA kwenu
Warabu wanauza Sana unga Hasa Huko Afughan
 
View attachment 2786999

Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.

Taarifa zinasema mwanzoni mwa mwezi October chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.

Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa matunda, kwa mujibu wa ripoti walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.

Ayo updates
Hayo majina mbona yanamrengo wa kigaidi.

adriz kahtaan Accumen Mo
 
Fanya tafiti hata wanaokamatwa hapa bongo ambao tunaowafahamu wanayofanya biashara hizo za ngada , fuatilia Imani zao, au wale wazamiaji wa Afrika ya kusini wanao uza ngada huko wapeleleze ukikuta 100 basi 90 ni WA kwenu
Unajua hizo shughuli ni za vijana wa mjini hasa Dar na DSM majority ni waislam ndo maana majina yanajirudia rudia ni sawa na matukio yanayofanyika nyanda za juu kusini ukayahusisha na ukristo kisa majina
 
Hao ni watanzania wengi hutumia majina ya bandia ya sikudanganye, sasa hivi watanzania wote wa nafanana kitabia.
Halafu ndio Wales ukiwakuta waking'aka Yesu siyo Mungu hadi mishipa yote ya shingo nije.
 
Nadhani anamaanisha kuwa kuna dini zina mafundisho yanayokosa mkazo wa kufanya kazi kwa bidii. Na kwa sababu mahitaji ya mwanadamu hayategemei wewe ni wa imani gani, hawa watu wasio na mafundisho thabiti ya kujituma kufanya kazi, mwishowe hukimbilia njia za mkato ili wapate kuishi.

Hapa nchini, maeneo mengi walioishi waarabu, kama vile Tabora, Tanga au Ujiji, watu wengi siyo watu wa kujituma, hasa kwenye kazi ngumu. Tena kwenye maeneo hayo, utakuta hali hiyo haitegemei imani ya mtu. Hata kuanza kazi asubuhi, hasa kwa wasioajiriwa, huchelewa sana kuanza.

Kuna njia moja ya uhakika ya kumfanya mtu awe na uhakika wa maisha yake, nayo ni kufanya kazi kwa bidii. Mengine yaliyobakia ni kubahatisha kunakoendana na hatari nyingi.
Ni sawa kuhusisha pesa za ndagu za nyanda za juu kusini na ukristo?
 
Back
Top Bottom