Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nilikua nasikia sikia tu kua Tabora hupigi hatua nne unakutana na chizi, nimeanza kuamini amini na nadhani wengi saivi wamehamia jijini daslam ππMkuu mimi sio wa kigom mi wa tabora ujiji ebu niwie radhi kwanza πππ
Pm ya Poor Brain iko wazi, ila tu nikupe angalizo uwe above 35Yaan watu wa kigoma nawapenda sana kwa ubishi wao hadi raha,
Kwa hiyo niende PM kwake akanikule hahaha. Yaan wewe jaman, so akanihamishie mimi stress zake jamanPm ya Poor Brain iko wazi, ila tu nikupe angalizo uwe above 35
Mkuu unajua kunishambulia mimi ni kutafuta vita na tundazuriNilikua nasikia sikia tu kua Tabora hupigi hatua nne unakutana na chizi, nimeanza kuamini amini na nadhani wengi saivi wamehamia jijini daslam ππ
Vishu ni mshenzi wa tabia ahahahaPm ya Poor Brain iko wazi, ila tu nikupe angalizo uwe above 35
Poor Brain eti nije pm jaman hahasKwa hiyo niende PM kwake akanikule hahaha. Yaan wewe jaman, so akanihamishie mimi stress zake jaman
Njo kuwa huru mkuu...Poor Brain eti nije pm jaman hahas
Na hili ukijichanganya ukaniambia hivo, maongezi na wewe tena ni live. Kuongoea kwenye simu tena ndo basi.Mimi kitu nimegundua ukiambiwa ebu kata nipokee simu nyingine ni kwamba hauna pesa, kata simu haraka ukazitafute kama kichaa.
πππNa hili ukijichanganya ukaniambia hivo, maongezi na wewe tena ni live. Kuongoea kwenye simu tena ndo basi.
Mkuu mwanzoni mama yangu mzazi alikua ananifanyia hivi nikate simu ili aongeee na mdogo wangu tunaefuatanaππππNa hili ukijichanganya ukaniambia hivo, maongezi na wewe tena ni live. Kuongoea kwenye simu tena ndo basi.
ππMkuu mwanzoni mama yangu mzazi alikua ananifanyia hivi nikate simu ili aongeee na mdogo wangu tunaefuatanaππππ
Hatq wenye ajira tuna shida ya afya ya akiliukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana mkuu,....huyo angekuwa na kazi ya kufanya asingefanya huo utumbo,....
Mkuu huu ni uzoefu wa hakika nilioupitia , demo za hivi huwa nazipenda sana πππππ
Mie huyu aliye niambia hivi nilicheka sana jana aiseeMkuu huu ni uzoefu wa hakika nilioupitia , demo za hivi huwa nazipenda sana πππ
Kama ni mwanamke hayo sio mapenzi ni mahaba mkuu shtukaππMie huyu aliye niambia hivi nilicheka sana jana aisee
Hahahah nije nibembee hahahNjo kuwa huru mkuu...
Na navyokukubali an