Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Hao wote mnao wazungumzia wanaofanya matukio ya kushangaza, kuna ambao wapo humu jamii forum ukiongezea na wengine wenye depression, chronical stress na kila aina ya mental disorder wote tumechanganyika humu, hyo inafanya jamii forum kuwa siyo tena "home of greater thinkers" bali ni "home of mental asylum
 
Back
Top Bottom