Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

Jibu la ki-CCM na jeuri zote.

Umesoma hali ya hiyo familia? Halafu Bima ya 50-70k inasaidia nini?
 
Jibu la ki-CCM na jeuri zote.

Umesoma hali ya hiyo familia? Halafu Bima ya 50-70k inasaidia nini?
kata hiyo bima gentleman itakusaiadia sana,

hata hivyo ukiwa na maradhi endelevu yaliyobainika, kata bima kubwa zaidi, huzuiwi na mtu gentleman πŸ’
 
Bima huwa ni bure mkuu?
bima ni ulinzi wa Afya yako unapuka tee mfokoni huna jambo,

ni kwa watu wanaojali na kuthamini afya zao wakiugua.

wabishi na wenye uelewa mdogo juu ya umuhimu wa bima hukimbilia kuvutia tension na huruma ya jamii.

Jitahidi sana uwe na bima ya afya kuepuka unyonge na kujifungia ndani unapougua πŸ’
 
Bima ya afya kwani ni bure. pesa ya kula huna, je ya bima utapata wapi? ndugu.
 
Ukweli ni huo, gharama za matibabu ziko juu kuliko kipato cha mwananchi wa kawaida. Bima nako ni balaa lingine. Wafanyakazi wanakatwa kweli lakini huduma zitolewazo ni duni. Nina bima ya VIP, nililazwa hospitali ya mkoa nikaambiwa tulale wawili wadi ya daraja la tatu kwani daraja la kwanza pamejaa. Dawa nyingi nilizoandikiwa ama hazikuwa kwenye bima, na zilizokuwepo nyingi hawakuwa nazo.!
 
Kwani bima ya afya ni Bure? Si mpaka uchangie kila mwaka. Mtu anakosa hela ya kula na umuongezee mzigo/mchango wa bima ya afya!
Bima inasaidia lakini nayo ina mapungufu mengi. Dawa nyingi uandikiwazo hawana, utaratibu wa kununua madukani form hiyo ilisha ondolewa.
 
kata hiyo bima gentleman itakusaiadia sana,

hata hivyo ukiwa na maradhi endelevu yaliyobainika, kata bima kubwa zaidi, huzuiwi na mtu gentleman πŸ’
Hiyo bima ya elfu 70 ndo ikoje?
Hebu idadavue hapa kifurushi chake tukione!
 
BIMA haisimami kila matibabu au kupata dawa,huduma nyingi bima inadunda
Kikubwa pesa cash mbele....gentleman
Matibabu gharama

Ova
 
BIMA haisimami kila matibabu au kupata dawa,huduma nyingi bima inadunda
Kikubwa pesa cash mbele....gentleman
Matibabu gharama

Ova
kwani wewe una umwa kila ugonjwa au maradhi gentleman? πŸ’
 
Huyo uliyemquote Hana akili kabisa na ni Moja ya machawa majinga majinga tu... Hivi mtu wa kijijini huko interior kabisa ana uwezo hata wa kumiliki smartphone ya kawaida? Achililia mbali iphone ya 4m anayoisema?
 
Nimegundua hilo, nimemuweka kwenye kundi la wajinga wajinga.
 
Makasiriko ya nini mkuu, umejuaje kama yeye ana uwezo wa kiuchumj kusaidia?
Kama hana uwezo wa kusaidia kwa nn asirudi hapa atoe angalau account number tumchangie mgonjwa,cha ajabu eti kapotelea mitini.
 
Huyo uliyemquote Hana akili kabisa na ni Moja ya machawa majinga majinga tu... Hivi mtu wa kijijini huko interior kabisa ana uwezo hata wa kumiliki smartphone ya kawaida? Achililia mbali iphone ya 4m anayoisema?
huwezi kukwepa wala kupunguza gharama za matibabu bila kua na bima ya afya gentleman,

utateseka, utafedheheka na kunung'unika sana kwa kutafuta tension na huruma za wadau ambazo completely haziwezi kupunguza fedheha na maumivu ya kiafya mgonjwa anazopitia. Bima inaweza kupunguza mzigo wa gharama za matibabu kwa kiasi kikubwa mno.

hakuna haja ya kua mbishi na mwenye kiburi kwajili ya ustawi na afya yako mwenyewe.

Ni muhimu kujipenda, kujipenda na kujali afya zetu kwa kua na bima za afya my friend, ladies and gentlemen πŸ’
 
Nimegundua hilo, nimemuweka kwenye lundi la wajinga wajinga.
Huyo na jamaa Mmoja humu anaitwa Lucas Mwashambwa akili zao ni mapacha, yaani ni watu fulani hivi wapuuzi sana ambao wamekubali kuonekana wajinga Kwa kuikingia kifua serikali hata kwenye mambo ambayo ni vigumu kutetea serikali.

Ona kama hapa anavyoandika comments za kipuuzi yaani ambazo hata hazina uhusiano wowote wa kimantiki na mada husika, yote hiyo kuwatetea watawala akijaribu kaurudisha lawama Kwa hao wanainchi wenyewe kwamba ndio wenye makosa na serikali haihusika Kwa namna yoyote Ile, Sasa ni ni upuuzi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…