Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

 
Enzi za ukoloni angetibiwa bila kutoa hela, ila hawa wakoloni weusi pesa za serikali wanazitumia kuombea kura waingie madarakani.
 
Hawa ni maadui wengineo wa taifa hili.
 
Nmeuliza ni bure?
 
 
Anasifa ya kupata excemption ya kulipia matibabu, kwa public facilities, mwoneni afisa ustawi wa jamii ktk kata, atamwanzishia kibali cha kupata tiba bila malipo
 
Nmeuliza ni bure?
kuna mwenyekiti wa kijiji huko mbweya amewakatia Bima wanakijiji wake wote wa kijiji chake zaidi ya 1500, ili kupunguza adha na fedheha za gharama za matibabu.

thamani ya Afya hailinganishwi na gharama yoyote, kwasabb afya na uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu,

Tumepewa bure nasi yafaa kuitunza kwa nguvu na gharama yoyote ile ni uhai🐒
 
Garama za NHif ni gani?
 
Nmeuliza tu mana garama unazonipa na nilizoziona naona tofauti
umeona hiyo elfu hamisini mia ngapi sijui ilikua previous yrs my lady, but imeongezeka kidunchu 🐒
 

Attachments

  • 3b94fc5db0076358ff9c173ebb022233.png
    43.5 KB · Views: 1
Subiri LUCAS MWASHAMBWA akusikie
 
Ulitaka aandike yote kwamba “nikatoa 50K kama msaada”? na angeandika hivyo still ungemuona kama ameleta mada ili kujionyesha kwamba ana hela sana.

Then wapi ame’mbeza mgonjwa?
 
Poleni Sana Ila Kama ungemfanyia utaratibu wa kumuombea msaada ingekuwa vizuri Sana.

Mpeleke hata hosptali kwanza then naamini anaweza kuchangiwa akapata matibabu

Binafsi nimeguswa na Kama kutakuwa na namna yoyote ya kumsaidia huyo mgonjwa utasema.
Kuwa making usijepigwa na kitu kizito, mtoa mada alishahusishwa na uvutaji bangi
 
Umasikini ni mbaya sana.Inakera pale mgonjwa anaposikia kua TUNASUBIRIA,ni bora ajitokeze msamaria mwema AMPE mgonjwa husika sumu.
 
nimeweka update kwenye uzi pale,
 
Umasikini ni mbaya sana.Inakera pale mgonjwa anaposikia kua TUNASUBIRIA,ni bora ajitokeze msamaria mwema AMPE mgonjwa husika sumu.
hali duni ya maisha pamoja mfumo mbaya wa uongozi ndo unaleta haya yote
 
Ulitaka aandike yote kwamba “nikatoa 50K kama msaada”? na angeandika hivyo still ungemuona kama ameleta mada ili kujionyesha kwamba ana hela sana.

Then wapi ame’mbeza mgonjwa?
asante mkuu kwa kunijibia, maana ndo hvo tena, nimeweka update kwenye uzi na wala sijaweka namba ya mgonjwa wala yoyote na sikuandika huu uzi kuombea msaada mgonjwa.
ila nimeandika nilichokiona tu pamoja na hali halisi ya maisha ya watu mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…