#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

Bahati mbaya kundi la walimu ni la watu wajinga wengi ambao hajitambui
Wamekufundisha unaandika leo,unawaona wajinga eeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walimu wanabebeshwa mzigo usio stahili,wao ni wataalamu wa kufundisha Mambo ya kujengasi Kuna mhandisi w wilaya?
Idara ya ujenzi wao kazi yao Nini?Basi tu hili walimu walitakiwa walikatae,maana hiyo sio fani yao
 
Ahsante sana. Dah, sasa 20 hii inatoka wapi tena maana inaonekana ni ya kumalizia boma tu na sio kuanza mwanzo!
 
Watu wana utani sana, kiongozi
 
Hahahaaaa, sawasawa!
 
mafanikio yako makubwa ni kujenga mkuu?😂 akili yenyewe unayo? maana kwa uandishi huu na ulivyonielewa naona bado una safari ndefu sana katika kujitambua
 
Wamekufundisha unaandika leo,unawaona wajinga eeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata chini ya mti ningejua tu kusoma na kuandika, kwani binadamu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani? nani alimwambia kuwa sasa una certificate, diploma, degree, masters, PhD n.k?
 
Jana nimetaja jumla ni 9,280,000 pamoja na pesa ya dharura tena kwa gharama za Dar siyo mikoani ambako mchanga ni elfu 70 kwa gari moja
 
Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu
 
Kiongozi anaagiza madarasa yote yakamilike ndani ya miezi mitatu ili kufurahisha umati.
Mwisho wa siku madarasa yanalipuliwa tu chini ya kiwango.
SIASA SIASA SIASA.
Hivi wewe unajua ujenzi, unapitia kipindi kipi. Kwa miezi mitatu kama unajenga kwa cement ya dangote poa kabisa hata mwezi.
 
Mhhh! Inategemea ni wapi. Kuna sehemu cement anauza 30,000/=
 
Tofali 500 zinaweza jenga darasa kweli? Mawe trip 5 yajenge msingi wa darasa?, mabati 40 yanatosha kupigilia darasa?
Acha kupotosha, Kuna vitu vingi sana hujaweka hapo kama vile mbao za kufungia renta, kupaulia na blandering, Gypsum board,,gypsum powder, DPM, red cement, white cement, n.k hiyo misumari uliyoweka hapo inatosha tu kwenye kupigilia beam.
Siku ukijenga hata slope utagundua ilivyo kazi.
 
Mwaka jana nilikuwa kwenye kamati ya ujenzi, shule ilipewa hiyo milioni 40 lakini ilivyowekwa kwenye matumizi haikutosha, kuna sehemu vifaa vya ujenzi vipo juu sana hasa mikoa ya pembezoni, fikria Kuna sehemu mfuko wa simenti ni 25000, nondo 27000 na hivi vifaa wazabuni hupandisha bei kwa sababu wanalipa kodi zote muhimu.
 
Tofali 500 block zishindwe kujenga darasa moja? utakuwa umedanganywa ww, je dharura ya 1,000,000 inakazi gani?
 
Siku hizi wanatumia imprest mkuu kununua vifaa vya shule
 
Tofali 500 block zishindwe kujenga darasa moja? utakuwa umedanganywa ww, je dharura ya 1,000,000 inakazi gani?
Hivi akili yako ipo vizuri kweli? Tofali 500 zijenge darasa gani? Halafu usifikiri ujenzi wa serikali ni kama unavyojenga wewe lazima kuwe na ubora, unapotosha usichokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…