The road to hell is paved with good intentionsKama inawezekana tusamehe pale alipokosea na tuthamini lengo lake kwani lengo lake ni zuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri mwandishi haijui historia ya waziri na mkuu wa nchi...kwa kuwa waziri ni mpakwa mafuta haswaa na mkuu alimuomba agombee kule kigoma lakini waziri alikataa hivyo akaamua kumteua..Naomba mfanye utafiti kidogo...kabla ya kuwafananisha hawa watu...HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA.
Sahau kuhusu hiloSidhani, mpango kakurupuka. Nadhani ni suala la Muda tu Dkt Kijaji atakuwa waziri kamili.
Ofcoz. Ni suala la muda tuumesema vyema ingawaje RC this time round atagonga mwamba waziri ataibuka shujaa
kama.kweli raisi ndo kamtuma waziri basi wacha tukae upande wa makonda kwa hili kwanza makonda ni RC analipa kodi kwa nani na vifaaa vinaenda kwa nani labda tuambie ndani ya hayo makotena kuna vifaa ambavyo si samaniPaschal ana a very realistic point, very logical indeed! Lakini ni ukweli pia kuwa yawezekana pia Dr Mpango hakukurupuka. Amelisoma game vizuri na amefanya consultations za kutosha kabla hata ya kufanya hiyo ziara ya 'Kustukiza'.
Ukweli kamwe haunaga maficho ya kudumu. Kuna watu watakuwa vindicated ana wapo watakao kuwa condemned, kwenye hili saga.
Stay tuned!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kupindisha sheria bali ni suala la kutumia busara! Kodi ni mali ya umma na makonteina hayo ni mali ya umma, tena ni msaada, ambao serikali ilibidi ndo igharimie. Katika mazingira hayo kuna ubaya gani mzigo ukiruhusiwa kupita kwa maslahi ya umma. Ili mradi tu serikali ijiridhishe kuwa mzigo huo hauna mali binafsi za Mh Makonda. Kama zipo hizo tu ndo azilipie ushuru zilizobaki ziachiwe ili ofisi za waalimu zipate fenicha.Unaongeleaje swala la kodi, je tupindishe kidogo sheria mzigo uende
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni kwamba ilikuwa inazungumzwa kana kwamba hiyo ni mali yake binafsi wakati siyo. Huo ni mzigo wenye fenicha za waalimu, na ni msaada. Sema waliotuma ndo hawakujua kama italeta shida vingiunevyo wangetumia taasisi ya elimu. Huo ni msaada kwa serikali halafu ni ajabu serikali ijitoze kodi kwenye kitu ilichosaidiwa!!Mkuu uko sawa kabisa .lakini nini kilicho mfanya makonda ayakane hayo makasha Mara ya kwanza, naomba unipe sababu za msingi.