GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyerere aliandaliwa na wakoloni Ili aachiwe nchi,hana uspesho wowote, karume alikua ikulu dar wakati mapinduzi yanafanyika
Lissu hatafuti uhuru wowote,ni muhuni tu kibaraka wa wakoloni
Ndio Maana nimesema wangekuwa na Akili kama zako tusingepata Uhuru kabisa! Watoto wako wa shida ya baba!
 
Ungemuacha tuu huyu mkuu, Mirembe kabisa huyo hajamaliza dozi!
 
Hiyo tangu zamani Mzungu hana msaada hasa kwenye mambo ya kisiasa na kiuchumi direct bila kuangalia maslahi yake.
Walipokuwa wanapeleka shobo zenu mara Kwa mabalozi mara sijui TEC mara muwaalike mlitegemea mzungu atupangie wakati ana njaa 😁😁

Tuliwaambia hawana akili
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Kwahiyo kumtembelea hospital ina halalisha yeye kubaka katiba ya inchi na kufanya mambo kinyume na sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…