Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Kwani kuchomekea kunaongeza ufaulu?
Mzazi kama wewe ndy wale aina ya wazazi ambao wanaletewa mashitaka na watu,,
Kwamba mtoto wako wa kiume ni shoga,,
Badala ya kuchukuwa hatua,

Unawajibu kwani matako ni yake?au yako?
Mwacheni mwanangu.
 
Mzazi kama wewe ndy wale aina ya wazazi ambao wanaletewa mashitaka na watu,,
Kwamba mtoto wako wa kiume ni shoga,,
Badala ya kuchukuwa hatua,

Unawajibu kwani matako ni yake?au yako?
Mwacheni mwanangu.
Umeuwaa
 
Waacheni madogo wavae wanavyotaka fatilieni mifumo ya elimu punguzeni masomo ambayo hayana maana mavazi sio jambo zito mbona shule za wenzetu mbele uko wanavaa mavazi yao ya kawaida tu mambo ya uniform yatolewe tu

Miaka ya saizi unataka umvalishe mtoto suruali la malinda na shati kubwa utadhani miaka ya 80 kwani ndo nidhamu toeni ukoloni waacheni watoto wavae kulingana na generation yao
 
Sawa ntanza kuchomekea ila je mtaniajir? Sio bot tu hata halmashaur tu
 
Mzazi kama wewe ndy wale aina ya wazazi ambao wanaletewa mashitaka na watu,,
Kwamba mtoto wako wa kiume ni shoga,,
Badala ya kuchukuwa hatua,

Unawajibu kwani matako ni yake?au yako?
Mwacheni mwanangu.
Sasa wewe ukiletewa mashtaka Kama hayo utafanyaje?UTALIA au UTAMCHINJA huyo mwanao?
 
Kila kitu katika makuzi ya mtoto,tabia,elimu,nidhamu huanzia nyumbani.. mwalimu anaongezea pale alipoishia mzazi
 
Jamaa angu uko tz unajilinganisha na mbele ambao hawana mifumo yenu ya kukariri darasani
 
Wape vidonge vyao.....wanadhani ukichomekea ndio utafaulu Kama zero Ni zero tu,hebu waache ukoloni mamboleo
 
Wape vidonge vyao.....wanadhani ukichomekea ndio utafaulu Kama zero Ni zero tu,hebu waache ukoloni mamboleo
We ni mwanafunz, angalia watoto wanaofaulu siku zote wako smart, hawanaga kwenda na wakati. Kuvaa ni nidhamu, nidhamu ndo Kila kitu Katika ufaulu wa mwanafunzi.
 
Ujue wazungu wanajielewa kuliko Wabongo?

Ndo maana ni nadra kukuta mimba za utotoni (zipo ila ni tofauti na huku Afrika).
 
We ni mwanafunz, angalia watoto wanaofaulu siku zote wako smart, hawanaga kwenda na wakati. Kuvaa ni nidhamu, nidhamu ndo Kila kitu Katika ufaulu wa mwanafunzi.
Upuuzi wa kukariri kila kitu sijui tutajikomboa lini waafrica....kwa vile wazungu walichomekea machati eti ili ufaulu lazima uchomekee shati.sio kweli kabisa....Basi Walokole woooote walitakiwa ndio wawe top ten kwenye matokeo
 
Katika jambo lolote bila DISCIPLINE hesabu maumivu.

Iwe Maisha,
Ndoa,
Shule,
Michezo.

Kama huna discipline basi umekula hasara
Kutochomekea haimaanishi kua huna discipline. Labda kama umeambiwa "chomekea" na ukakaidi. Mwanzisha mada kaongelea pia watoto wanapokua mtaani kua hawachomekei uniform zao. Mm naona kama akitoka shule hata asipochomekea ni sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushafika kibaha boys, tumbi sec ,Marian sec then angalia kama Kuna uvaaji huo usio na nidhamu. Kisha Rudi Kwa hawa wanaovaa za vipedo,na mashati mafupi. Linganisha ufaulu wao. Uvaaji ni sehemu kuvea ya nidhamu
 
We ni mwanafunz, angalia watoto wanaofaulu siku zote wako smart, hawanaga kwenda na wakati. Kuvaa ni nidhamu, nidhamu ndo Kila kitu Katika ufaulu wa mwanafunzi.
Hmm..hapana. binafsi napinga hilo... kuchomekea haimaanishi kwamba ndio unanidhamu. Na sio kweli kwamba wanafunzi wanaochomekea wengi wana faulu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…