mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mzazi kama wewe ndy wale aina ya wazazi ambao wanaletewa mashitaka na watu,,Kwani kuchomekea kunaongeza ufaulu?
Kwamba mtoto wako wa kiume ni shoga,,
Badala ya kuchukuwa hatua,
Unawajibu kwani matako ni yake?au yako?
Mwacheni mwanangu.