Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Sina chamaNgumu kumeza wewe ni ACT, CDM au CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina chamaNgumu kumeza wewe ni ACT, CDM au CCM?
Basi usiulize maswali ya kipuuziSina chama
TrueKuna vitu vya kuumiza kichwa, wanafunzi wanapenda kuwa tofauti, wakati nasoma nililing'amua hili, hata wakiambiwa wasichomekee basi wataanza kuchomekea, wakiambiwa hiki, watatakka kufanya vile, ili mradi waende kinyume na sheria.
Kwahiyo waachwe auKuna vitu vya kuumiza kichwa, wanafunzi wanapenda kuwa tofauti, wakati nasoma nililing'amua hili, hata wakiambiwa wasichomekee basi wataanza kuchomekea, wakiambiwa hiki, watatakka kufanya vile, ili mradi waende kinyume na sheria.
AiseeNi mtihan kwa kweli mwaka huu mwezi wa pili kuna kijana alikua kwenye interview kwenye taasisi ya kidini tena ktk shule yan kwa jinsi yule mvulana alivyovaa hata kazi asingeweza kupata suruali njiwa, kishati kama cha mdogo wake, kaja kavaa kapero(kofia), kibegi kavuta ile mikanda kimebanana na mgongo huku kaeka ma head phone makubwa utasema kaitwa nafasi ya u dj kumbe nafasi ya accountant, yan tulichoka kwa ule muonekano
Zaman walilipwa mamilion?Jamii imeona walimu ni mafala fulani.
Walm wamejb kwa
1. Wanaenda kazn kusain mahudhurio
2.wanaanza kupga stori mpira, mbunye na madeni yao na kutia moyo taisha tu.
3.waandaa somo, nukuu 4. Wanaingia class kuwapgsha pind bov na swali lisilo na kiwango unawapa madogo
5. Unasaini kitabu kuwa umefundisha
6. Unaenda ka mama yoyo
7. Tar23 nawah nmb kuchukua laki 2 yangu, naenda kula mataptap na kulipa maden.
8. Januari wanafeli wote wanasiasa na jamii mnapga kelele siku 3 huku mkisia kaizirege
9.mei mosi mnafurahia hakuna ongezeko
10. Miaka 60 anastaf anapata mi 70.
11. Anakufa akiwa na miaka 72.5
Ova.
Mkuu siasa imekua nyingi Sana katika Elimu,,, Mimi ni mwalimu hebu nishauri kidogo,,nimekutana na KESI Kama hizo kwa vijana,,nikawaeleza namna sahihi ya kuvaa kwa mara ya 1 na 2,, Ila bado hawakubadilika nikawata Tena tukazungumza kuhusu madahara ya jinsi ya wanavyo vaa,,, Ila bado hakubadilika nikawapa adhabu ndogo ya bakola mbili wazazi ,diwani Afsa Elimu, Mkuu wa wilaya wote wakaja juu watoto wasibuguziwe kisa saree,,, hapo natakiwa nifanye nn kurekebisha hiyo tabiaYanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
Do you know anything about foolish. Age?..waache watoto wafanye yao, hizo sheria hufundisha nidhamu za woga, kila mtu aishi atakavyo bwana.
Yaani ulipowacharaza alikuja DC na afisa elimu kukuambia usiwabughuzi!Mkuu siasa imekua nyingi Sana katika Elimu,,, Mimi ni mwalimu hebu nishauri kidogo,,nimekutana na KESI Kama hizo kwa vijana,,nikawaeleza namna sahihi ya kuvaa kwa mara ya 1 na 2,, Ila bado hawakubadilika nikawata Tena tukazungumza kuhusu madahara ya jinsi ya wanavyo vaa,,, Ila bado hakubadilika nikawapa adhabu ndogo ya bakola mbili wazazi ,diwani Afsa Elimu, Mkuu wa wilaya wote wakaja juu watoto wasibuguziwe kisa saree,,, hapo natakiwa nifanye nn kurekebisha hiyo tabia
Tegemea kesho kumuona ,diwan wazazi na Mkuu wa wilaya wakikupiga mkwara na waweza kula demotion ,, ##mzazi kwa Sasa ukisomesha mtoto shule ya kata jipange## usipo simama wewe umekula kwako walimu tusha choka tunangalia mshaharaMim kama mwalimu mkuu.napita napiga mikasi vimodo vyote.kwanza mw wa nidham yupo wap?
Ukikomaaa unakomaliwaHapo tatzo ni walimu,kama walimu wakikomaa huwez ona madogo wanavaa hvyo
OohTegemea kesho kumuona ,diwan wazazi na Mkuu wa wilaya wakikupiga mkwara na waweza kula demotion ,, ##mzazi kwa Sasa ukisomesha mtoto shule ya kata jipange## usipo simama wewe umekula kwako walimu tusha choka tunangalia mshahara
Hapa ndo tatizo la mtanzania !.. Mkuu nakueleza kitu kilichotokea Tena sio chini ya Mara 3 ,,Mimi ni mwalimu na sioni faida ya kusema uongo take it or leave it!. I swear to the living God nachosema Ni kweli na sio storyYaani ulipowacharaza alikuja DC na afisa elimu kukuambia usiwabughuzi!
Hakuna DC Mjinga hivyo asiyehoji kilichotokea!
Hivi nywele, kucha na meno wanakaguliwa kweli?halafu wanava viatu bila soksi enzi zetu huwezi vaa bila kuchomekea na soksi safi tatizo ni nini!
Akili ya Mwanafunzi inapimwa kwa Kuchomekea Kwake Sare zake za Shule?Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani
Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?
Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?
Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?