Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Nashangaa sana.kama mdau wa elimu nasikitika.Tena nawaona hawa wa hizi shule za kata.sijajua hivi huwa walimu wa nidham siku hiz hakuna au? Kwanza wanashona vinjiwa na vichupa anavaa vimoka hana soks.yaan elimu na nidhamu ni mate na ulimi.usipokuw na nidham jua tu utaishia kusindikiza wenzio.
Wa kiume wanavaa viatu bila Soksi! Tunakoelekea hata watoto wa kike hawata vaa tena chupi wanavaa zile chupi za tandabui kama barakoa
 
Hii ndio point, tatizo wazazi wengine hua wanawaacha watoto wao wachague kuishi wanavyotaka wao sio wanavyotaka wazazi, shida ndio inaanzia hapo
Wazazi wanaweza kudanganywa ndo sare ya shule kaambiwa na shule iwe hivyo, dawa na huko huko shule
 
Naomba Walimu mtuache kama tulivyo.Tumechoka sasa!

Mamlaka zilipotupiga 'dash' kwenye mishahara na stahiki nyingine,kwa miaka mingi,si raia walifurahi?

Kwenye mitandao wakati wa sensa tulifanyiwa kila aina ya kejeli,mkafikia hatua ya kusema bora kuwa Mwendesha bodaboda kuliko kuwa Mwalimu.
Na bado vijembe vingine vitakuja mbona nyie ndo mlisimamia jukumu zima la kupeleka mende bungeni ona sasa wanacho wafanyia
 
Nashangaa sana.kama mdau wa elimu nasikitika.Tena nawaona hawa wa hizi shule za kata.sijajua hivi huwa walimu wa nidham siku hiz hakuna au? Kwanza wanashona vinjiwa na vichupa anavaa vimoka hana soks.yaan elimu na nidhamu ni mate na ulimi.usipokuw na nidham jua tu utaishia kusindikiza wenzio.
Kuna uongo pia hapa
 
Yanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
Hao wote mnawaonea jukumu la kwanza la maadili ni la mzazi nyumbani, siku hzi tunadhani mtu mwingine atasaidia kurekebisha mwanao wewe ukiendelea na ubusy. hao wa5 kati ya 100 imekuwaje wamechomekea? Malezi malezi malezi. hakuna atakayekufundishia adabu mwanao zaidi yako ww mzazi ulomzaaa
 
Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?

Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!

Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!

Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani

Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?

Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?

Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?
Bado sijaona utovu wa nidhamu hapo... [emoji848]kwamba kuchomekea ndio unanidhamu zaidi? Mbona kuna watu maofisini wanachomekea na kuvaa tai kabisa ila ndio wala rushwa namba 1, wahujumu uchumi na watumizi wa mali za umma kwa faida zao binafsi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muingereza bana tuliiga kila kitu chake. Makoloni yote ya Muingereza na yeye mwenyewe yaani common wealth countries wanavaa uniform nje ya hapo ulaya iliyobaki na marekani hawavai uniform na Muingereza akisema kiatu cheusi anamaanisha cheusi sasa uende sijui na kijivu kilichoiva anakurudisha nyumbani
Ni ujinga tu. Au ndio yadumu mawazo ya muingereza
 
Bado sijaona utovu wa nidhamu hapo... [emoji848]kwamba kuchomekea ndio unanidhamu zaidi? Mbona kuna watu maofisini wanachomekea na kuvaa tai kabisa ila ndio wala rushwa namba 1, wahujumu uchumi na watumizi wa mali za umma kwa faida zao binafsi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unashauri wavae hata bikini poa tu si ndiyo, watie na vikuku miguuni safi , wavae hadi shanga na cheni poa tu au siyo?
 
Kuweka usawa kwa wanafunzi wote ili kuondoa inferiority
Basi na uraiani tuvae uniform ili kuondoa inferiority.
Yani hakuna uhusiano wowote kati ya usawa na mavazi.
Kitendo cha watoto wa masikini kusoma Kata na mfagio na wengine kusoma Feza kwenye school bus tayari kimevunja point yako ya usawa.
 
Wanaandaliwa ili waje kujiajiri asa wachomekee ili iwaje?
Kwa hyo kujiajiri ndio usichomekee vzr na kuwa nadhifu

Huu Ni ujinga waziri mkuu alikemee hili swala kwa biti kubwa

Au Kam vip watagaze nchi nnzima kuwa akikutwa mwanafunzi aja chomokeaa na kuvaa njiwa tuwatandike hadharani
 
Kwahiyo unashauri wavae hata bikini poa tu si ndiyo, watie na vikuku miguuni safi , wavae hadi shanga na cheni poa tu au siyo?
Kuvaa bikini hio ni kitu kingine. Kuvaa cheni, vikuku, kacha kwanini ukataze? Labda ukataze wakiwa shuleni (kwa malengo ya kwamba wasiharibu uniform) lakini walikitoka nje ya shule mm naona wavae tu hata wasipotaka kuchomekea... na kuhusu mabegi unaona ni sahihi mwanafunzi kutembea njia nzima na mzigo wa madaftari? Madaftari waache shuleni watembee na homeworks tu... [emoji2377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
𝕨𝕒𝕤𝕙𝕠𝕟𝕖𝕨𝕖 𝕫𝕚𝕝𝕖 𝕛𝕖𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕂𝕜 𝕤𝕖𝕔𝕦𝕣𝕚𝕥𝕪, 𝕤𝕙𝕒𝕥𝕚 𝕟𝕒 𝕟𝕘𝕦𝕠 𝕪𝕒 𝕔𝕙𝕚𝕟𝕚 𝕧𝕚𝕞𝕖𝕦𝕟𝕘𝕨𝕒....𝕞𝕜𝕒𝕟𝕕𝕒 𝕟𝕠 𝕦 𝕒𝕨𝕒𝕝𝕚𝕟𝕕𝕒 𝕝𝕒 𝕤𝕚𝕧𝕪𝕠 𝕧𝕚𝕟𝕘𝕖𝕠𝕟𝕖𝕜𝕒𝕟𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕧𝕪𝕒𝕟𝕕𝕒𝕝𝕦𝕒[emoji28]
 
Basi na uraiani tuvae uniform ili kuondoa inferiority.
Yani hakuna uhusiano wowote kati ya usawa na mavazi.
Kitendo cha watoto wa masikini kusoma Kata na mfagio na wengine kusoma Feza kwenye school bus tayari kimevunja point yako ya usawa.
Hujanipata mkuu, ninamaanish kuwa kwa wanafunzi wa shule hakili zao bado hazijakomaa, akiona mwenzake anakuja na suti kila siku inamharibu kisaikolojia. Lakin kwa wewe mtaani ni mtu mzima unajari maisha yako tu.

Kingine hapo umecompare private na serikali. Tukichukulia let say serikalini kwenye hizo hizo shule za serikali kuna watoto wa watu wazito, mfano Tabora boys, Pugu, Kisimili, Ilboru. Ambao pia uwezo wa kuvaa mavazi ya gharama wanao. Kwahiyo sare inaweka usawa kwenye shule moja moja husika mtoto alipo.

Ukitaka ufanye comparison ya serikali na private basi kuna mwingine ataleta hoja kwamba kuna wengine wanasoma abroad wengine ndani ya nchi
 
Mzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Sahih kbsa mm Nakereka na hz suruwali za njiwa mno ningekuwa head master ningezichana chana
 
Back
Top Bottom