Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

Mnawaonea walimu tu. Kwani anayewashonea uniform wanafunzi ni walimu? Wanafunzi wanapotoka nyumbani kwenda shuleni wazazi hawawaoni?

Kazi ya mwalimu ni kufundisha taaluma, malezi ni jukumu la wazazi

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...
Mim kama mwalimu mkuu.napita napiga mikasi vimodo vyote.kwanza mw wa nidham yupo wap?
 
Mzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Hii ndio point, tatizo wazazi wengine hua wanawaacha watoto wao wachague kuishi wanavyotaka wao sio wanavyotaka wazazi, shida ndio inaanzia hapo
 
Mzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Kwanza mim mwanang lazima avae suruwal yenye pindo kwa chin na lazm achomekee.avae na saa na lazima shat iwe panga la pasi.na lazima atumie deodorant za kwapa.marufuk kunyoa kiduku
 
Nidhamu inaanzia nyumbani 75% ila 25% ni za mwalimu ndio maana walimu wakishindwa mzazi anaitwa ili ahojiwe anaishi vipi na mtoto nunda?
Inshu ya kuchomekea shati haiwez kuwa ya mzaz hata siku moja
 
Kwanza kwanini wavae uniform?? Tuanzie hapo
Muingereza bana tuliiga kila kitu chake. Makoloni yote ya Muingereza na yeye mwenyewe yaani common wealth countries wanavaa uniform nje ya hapo ulaya iliyobaki na marekani hawavai uniform na Muingereza akisema kiatu cheusi anamaanisha cheusi sasa uende sijui na kijivu kilichoiva anakurudisha nyumbani
 
Ni pande mbili mzazi na mwalimu, ndio maana katoto ka chekechea kanaanza kufunzwa kuchomekea kakiwa kanaandaliwa nyumbani na wazazi sio shuleni na walimu, umenipata au bado nmekuacha mtaa wa Congo?
Nimekupata lakin kama wanafunz wakiwa katika mazingira ya shule wakiwa wamechomekea ila wakitoka ndo wanachomoa naona sio tatzo sana au sio vibaya
 
Nimekupata lakin kama wanafunz wakiwa katika mazingira ya shule wakiwa wamechomekea ila wakitoka ndo wanachomoa naona sio tatzo sana au sio vibaya
Ndio hivyo sioni ubaya hata mimi, ila wanamalenga wanalia wanataka wanafunzi wachomekee mda wote na mahala popote
 
Tatizo laanza na walimu, walimu wao hovyo sana
 
Back
Top Bottom