1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
😃😃😃yani hawana begi wana vipochi tu eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃yani hawana begi wana vipochi tu eeeh
Mim kama mwalimu mkuu.napita napiga mikasi vimodo vyote.kwanza mw wa nidham yupo wap?Mnawaonea walimu tu. Kwani anayewashonea uniform wanafunzi ni walimu? Wanafunzi wanapotoka nyumbani kwenda shuleni wazazi hawawaoni?
Kazi ya mwalimu ni kufundisha taaluma, malezi ni jukumu la wazazi
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...
Hii ndio point, tatizo wazazi wengine hua wanawaacha watoto wao wachague kuishi wanavyotaka wao sio wanavyotaka wazazi, shida ndio inaanzia hapoMzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Kwanza mim mwanang lazima avae suruwal yenye pindo kwa chin na lazm achomekee.avae na saa na lazima shat iwe panga la pasi.na lazima atumie deodorant za kwapa.marufuk kunyoa kidukuMzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Usawa wa kiakili na kifikra inawajengea Umoja wawapo shuleni,Kwanza kwanini wavae uniform?? Tuanzie hapo
Kwani ukijiajiri ndio hutakiwa kuchomekea?Ndio maana unakuta mfanyabiashara mkubwa ukimuangalia kavaa shati kubwa linapepea na suruali kama Braza KWanaandaliwa ili waje kujiajiri asa wachomekee ili iwaje?
Nidhamu inaanzia nyumbani 75% ila 25% ni za mwalimu ndio maana walimu wakishindwa mzazi anaitwa ili ahojiwe anaishi vipi na mtoto nunda?Hapo tatzo ni walimu,kama walimu wakikomaa huwez ona madogo wanavaa hvyo
Inshu ya kuchomekea shati haiwez kuwa ya mzaz hata siku mojaNidhamu inaanzia nyumbani 75% ila 25% ni za mwalimu ndio maana walimu wakishindwa mzazi anaitwa ili ahojiwe anaishi vipi na mtoto nunda?
Muingereza bana tuliiga kila kitu chake. Makoloni yote ya Muingereza na yeye mwenyewe yaani common wealth countries wanavaa uniform nje ya hapo ulaya iliyobaki na marekani hawavai uniform na Muingereza akisema kiatu cheusi anamaanisha cheusi sasa uende sijui na kijivu kilichoiva anakurudisha nyumbaniKwanza kwanini wavae uniform?? Tuanzie hapo
Ni pande mbili mzazi na mwalimu, ndio maana katoto ka chekechea kanaanza kufunzwa kuchomekea kakiwa kanaandaliwa nyumbani na wazazi sio shuleni na walimu, umenipata au bado nmekuacha mtaa wa Congo?Inshu ya kuchomekea shati haiwez kuwa ya mzaz hata siku moja
Nimekupata lakin kama wanafunz wakiwa katika mazingira ya shule wakiwa wamechomekea ila wakitoka ndo wanachomoa naona sio tatzo sana au sio vibayaNi pande mbili mzazi na mwalimu, ndio maana katoto ka chekechea kanaanza kufunzwa kuchomekea kakiwa kanaandaliwa nyumbani na wazazi sio shuleni na walimu, umenipata au bado nmekuacha mtaa wa Congo?
Ndio hivyo sioni ubaya hata mimi, ila wanamalenga wanalia wanataka wanafunzi wachomekee mda wote na mahala popoteNimekupata lakin kama wanafunz wakiwa katika mazingira ya shule wakiwa wamechomekea ila wakitoka ndo wanachomoa naona sio tatzo sana au sio vibaya