Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kuna sababu za.kisayansi na kijamii katka hilo.siku nikipata muda nitazitoa hapa jalafu ukjaribu kuchunguza hata kwako utagundua ukweliLkn kwa nn hawa watoto wa skuizi wawe hivyo wakati sisi tuliolelewa kwa misingi ya maadili ndio tuliowazaa?? Kosa sio lao kosa ni la hao wazee ambao walijifanya wanauchungu sana na kubiruza mambo juu chn. Mtt wa skuiz kazaliwa na baba na mama wa skuiz unafkr kitaendelea nn?? Tukirud ktk malez ya zaman hatutakuwa na watt wa mbwa mitaani kwetu nafkr...
lakin si maadili hayoNdio maana wengi wenu wa vijana wa zamani ni waoga waoga kama kuku vile. Vijana wa siku hizi pamoja na bange na viroba lakini wana ujasiri wa kutosha. Hasa wale wa mbeya, arusha, iringa na mwanza .
Naam. Zamani Mtoto alikua wa jamii. Siku hizi "mwana humulelile mkulu miyago"Hahahahahaha aiseee, zaman mtoto wa mwenzio mtoto wa wote umesahau hii ukifanya kosa kwa jirani akakuchapa ukirudi nyumban na taarifa zimefika unachapwa tena
Inaonesha una upendo sana,, yaani nyumbani kwako hutaki ukaukiwe na wageni! Hii hata watoto wangu walikuwa nayo sana ingawa mimi nilikuwa siwachapi wakifanya hivyo! Endelea hivyo hivyo mama usibadilike. Sijui nije nikutembelee nami unililie?Hahaa. Hiyo ya kulilia wageni nilikuwa nayo Sana. Sijui kwa nini. Udogo rahaa.
Confidence hata ya mtoto wa miaka 7 sasa hivi huwezi kufananisha na enzi zetu.Tulijengwa misingi ya kuamini kila mkubwa ana akili na msikilize kila anachokuambiaMkuu hao wa kuhoji mambo umekutana nao wapi? Hivi vichwa vilivyojaa viroba vitahoji nini? Wao wanawaza pool table, bet, mlegezo na viroba tu!!
Ntafurah[emoji5]mkuu kuna sababu za.kisayansi na kijamii katka hilo.siku nikipata muda nitazitoa hapa jalafu ukjaribu kuchunguza hata kwako utagundua ukweli