Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Ndio maana wengi wenu wa vijana wa zamani ni waoga waoga kama kuku vile. Vijana wa siku hizi pamoja na bange na viroba lakini wana ujasiri wa kutosha. Hasa wale wa mbeya, arusha, iringa na mwanza .
 
Lkn kwa nn hawa watoto wa skuizi wawe hivyo wakati sisi tuliolelewa kwa misingi ya maadili ndio tuliowazaa?? Kosa sio lao kosa ni la hao wazee ambao walijifanya wanauchungu sana na kubiruza mambo juu chn. Mtt wa skuiz kazaliwa na baba na mama wa skuiz unafkr kitaendelea nn?? Tukirud ktk malez ya zaman hatutakuwa na watt wa mbwa mitaani kwetu nafkr...
mkuu kuna sababu za.kisayansi na kijamii katka hilo.siku nikipata muda nitazitoa hapa jalafu ukjaribu kuchunguza hata kwako utagundua ukweli
 
Ndio maana wengi wenu wa vijana wa zamani ni waoga waoga kama kuku vile. Vijana wa siku hizi pamoja na bange na viroba lakini wana ujasiri wa kutosha. Hasa wale wa mbeya, arusha, iringa na mwanza .
lakin si maadili hayo
 
9c3c472c60f083591ff85d627567f766.jpg
hawa ndo vijana wa siku hizi vijana wa zaman hawawez fanya ujinha hui
 
Hahahahahaha aiseee, zaman mtoto wa mwenzio mtoto wa wote umesahau hii ukifanya kosa kwa jirani akakuchapa ukirudi nyumban na taarifa zimefika unachapwa tena
 
9c3c472c60f083591ff85d627567f766.jpg
hawa ndo vijana wa siku hizi vijana wa zaman hawawez fanya ujinha hui
 
Hahahahahaha aiseee, zaman mtoto wa mwenzio mtoto wa wote umesahau hii ukifanya kosa kwa jirani akakuchapa ukirudi nyumban na taarifa zimefika unachapwa tena
Naam. Zamani Mtoto alikua wa jamii. Siku hizi "mwana humulelile mkulu miyago"
 
Kwa kweli hii ya mkubwa kujamba wakati mimi nipo na wakubwa zaidi ya wawili ilikuwa inanipa shida kweli..
najua mzee ally kajamba naalafu naulizwa ...nani kajamba
nikiuchuna nachapwa
nikisema mzee ally nachapwa pia
nikisema mm nachapwa pi

solution nikisikia mkubwa kajamba mm nalia tu...sinyamazi mpaka harufu pale itakapoisha
 
Zamani mtoto akifanya kosa akikutwa na mzazi yeyote yule hata njiani anamchapa bakora sio lazima awe mzazi wake. Lkn siku hizi ukimpiga mtoto wa mwenzio utauona moto wake.
 
Hahaa. Hiyo ya kulilia wageni nilikuwa nayo Sana. Sijui kwa nini. Udogo rahaa.
Inaonesha una upendo sana,, yaani nyumbani kwako hutaki ukaukiwe na wageni! Hii hata watoto wangu walikuwa nayo sana ingawa mimi nilikuwa siwachapi wakifanya hivyo! Endelea hivyo hivyo mama usibadilike. Sijui nije nikutembelee nami unililie?
 
Mkuu hao wa kuhoji mambo umekutana nao wapi? Hivi vichwa vilivyojaa viroba vitahoji nini? Wao wanawaza pool table, bet, mlegezo na viroba tu!!
Confidence hata ya mtoto wa miaka 7 sasa hivi huwezi kufananisha na enzi zetu.Tulijengwa misingi ya kuamini kila mkubwa ana akili na msikilize kila anachokuambia
 
Hii ni mkoa wa Mara hasa hasa marneo ya Majita, Tarime , na Bunda yaani mkoa wa mara kwa ujumla nasikia ndiyo hakuna formula ya maisha nini ufanye na nini usifanye!
 
Sijui mnamaanisha zamani ya lini ila mimi nakumbuka haya nikiwa mtoto

1. Ukitumwa sehemu ni kwenda unakimbia na kurudi unakimbia hapa nakumbuka nilitumwa panado dukani nilitoka ndani nakimbia naimba panado, panado, panado kufika njiani nikakutana na mtu nikamsalimia mweee nikasahau dawa niliyotumwa kurudi nyumbani sio kwa kichapo kile. Ahaaa

2. Kutomsalimia mkubwa ni kichapo cha nguvu

3. Kumsalimia mkubwa wakati umesimama kama mnara wa voda ni kichapo cha mbwa

4. Kukagua madafutari baada kutoka shule. Nimeshindwa maswali 3 hasa hesabu ni viboko 3 na hakuna msosi hadi niyafanye tena.
 
Back
Top Bottom