miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ila haya maisha yana mjengea mtoto woga sana .. sa nyingine unachapwa hata hujui umekosea wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utajua tu baadae ukitulia bibie kuna kauli inasema mkubwa hakosei hata akikupiga hauna kosa utatafuta tu kosa utalipataila haya maisha yana mjengea mtoto woga sana .. sa nyingine unachapwa hata hujui umekosea wapi ?
we bibie ndio umeongea point sasaila haya maisha yana mjengea mtoto woga sana .. sa nyingine unachapwa hata hujui umekosea wapi ?
asante mkuuwe bibie ndio umeongea point sasa
Nimekuwa mkubwa mkuu. Now sililiagi watu.ule ulikuwa utoto tuInaonesha una upendo sana,, yaani nyumbani kwako hutaki ukaukiwe na wageni! Hii hata watoto wangu walikuwa nayo sana ingawa mimi nilikuwa siwachapi wakifanya hivyo! Endelea hivyo hivyo mama usibadilike. Sijui nije nikutembelee nami unililie?
Kweli tupu. Waliwahi kumpiga wife na mpira akiwa na 'tumbo lake'. Wife ilibidi akae chini. Dk 5 wachezaji wote walishayeyuka!zaman mwalim.au baba wa mwenzenu akiwa anapita wakat mnacheza mpira mnasimamisha mnamuamkia na kama ana mzigo mnampokea mnaukimbiza hadi home kwake akivuka uwanja tu kabumbu linaendelea siku hizi ukipita katikati ya uwanja unaweza ukapigwa mtama au mpira wa kichwa na matusi juu
Wakubwa wengine wakiwa stressed ndio balaa yaniutajua tu baadae ukitulia bibie kuna kauli inasema mkubwa hakosei hata akikupiga hauna kosa utatafuta tu kosa utalipata
Umenikumbusha mbali sana... tulichapwa bakora uwanja mzima kisa hatukumsalimia mzee mmoja wa kitaa akiwa anapita, hakuna aliyekimbia na adhabu ya kukata nyasi za ng'ombe mpaka jion...ilikuwa Frelimo iringa dahzaman mwalim.au baba wa mwenzenu akiwa anapita wakat mnacheza mpira mnasimamisha mnamuamkia na kama ana mzigo mnampokea mnaukimbiza hadi home kwake akivuka uwanja tu kabumbu linaendelea siku hizi ukipita katikati ya uwanja unaweza ukapigwa mtama au mpira wa kichwa na matusi juu
una ongelea watoto au vijanavijana wa kileo hao so huu ni ujanja au![]()
Kizazi hiki kina uthubutu sana na ndiyo maana kinafanikiwa.Ndio maana kizazi chetu kimejaa mazombi unakuta jitu Profesa lakini linaendeshwa sababu ya kuendekeza tumbo;Kizazi cha wasiochapwa wana uthubutu wa kuhoji ingawa wengi dishi limeyumba
Si kweli, hii ilikuwa iko kila mahali siyo kwa mkoa mmoja. Leo hii mgeni yuko sitting room mtoto anaenda mpokonya simu na kuruka ruka kwenye makochiHii ni mkoa wa Mara hasa hasa marneo ya Majita, Tarime , na Bunda yaani mkoa wa mara kwa ujumla nasikia ndiyo hakuna formula ya maisha nini ufanye na nini usifanye!
Ilisaidia sana kuweka adabu na utii kwenye jamii. Ilikuwa rahisi kumpisha hata mkubwa wako sit kny gari lakini siku hizi yote hayo ni ndoto.Umenikumbusha mbali sana... tulichapwa bakora uwanja mzima kisa hatukumsalimia mzee mmoja wa kitaa akiwa anapita, hakuna aliyekimbia na adhabu ya kukata nyasi za ng'ombe mpaka jion...ilikuwa Frelimo iringa dah
Kwa kweli hii ya mkubwa kujamba wakati mimi nipo na wakubwa zaidi ya wawili ilikuwa inanipa shida kweli..
najua mzee ally kajamba naalafu naulizwa ...nani kajamba
nikiuchuna nachapwa
nikisema mzee ally nachapwa pia
nikisema mm nachapwa pi
solution nikisikia mkubwa kajamba mm nalia tu...sinyamazi mpaka harufu pale itakapoisha