Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa na matusi juukumaliza siku bila kipondo ni bahati
Mbona masharti mengii jamaniUkichelewa tena unalo umaingia mule mule...[emoji38]
[emoji38]...ila mkuu Mama sabrina,yalikuwa ni mojawapo ya maadiliiiWazazi wa Ki Africa wakatili kweli yote hayo jamani japo sikupitia vyote hapo lakin walikuwa wanatuonea,hivi unaambiwa hakuna kula kwa watu unaenda hata na mama sehemu kwa rafiki zake halaf kinatengwa chakula kizuri unatoa macho halaf mama anakukonyeza yaan anakupa ishara hakuna kulà na kuwahi kusema kuwa ameshiba huyu wakati si kweli ,maana ukiwa mdogo kula mara kwa mara ni sawa tu,kiukweli wazazi ni makatili sana
Hapana kabisa wamezidi kupiga mi wangu sipigi[emoji38]...ila mkuu Mama sabrina,yalikuwa ni mojawapo ya maadiliii
Kizazi cha sasa kinawasiojulikana!Wakihojiwa wakikosa majibu na wakabaini unakitia mchanga kitumbua chao utarajie kufanyiwa kinachojulikana na wasiojulikana.Ukiwahi kushiba Kabla ya mkubwa wako utachapwa pia.... Tuliopitia Haya malezi tunaishi na kila aina ya bnadam katka mazngra yoyote
...[emoji106]hongera mkuuduh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] old is gold! asilimia 60 nimepitia hayo..thanks mtoa mada kwa kunikumbusha long!!!
Usimchape frequently,angalau mara moja moja tyuu itapendeza kama akikosea ila kama tabia yake ipo njema huna sababu ya kumnyooshea kiboko mkuuHapana kabisa wamezidi kupiga mi wangu sipigi
[emoji38]Ukiwahi kushiba Kabla ya mkubwa wako utachapwa pia.... Tuliopitia Haya malezi tunaishi na kila aina ya bnadam katka mazngra yoyote
Asante sana mkuu,najua watakuwa wamekosa vingi sana..Umeacha Juma na Rosa,Manenge na Mandawa,Kinango na Nzige nk!You can't compare with this generation!
Ukitumwa ukamaliza nusu saa utachapwa,
Ukienda kuzurula kwa jirani utapigwa tu,
Ukipanda juu ya miti narudia kusema utapigwa tu,
Usipokunywa dawa utapigwa tu..
Ikisadikika umetukana utapigwa tu hata mtu ukihisiwa,
Etc etc
Umeacha Juma na Rosa,Manenge na Mandawa,Kinango na Nzige nk!You can't compare with this generation!
Hii nayo bro ang alipenda sana kuitumia,au ananiambia kimbia kama UmemeHaaaaaaaa! umenikumbusha mbali bibi yangu anakutuma kuchota maji anatema mate chini anakuambia urudi kabla haya mate hayajakauka ole wako uchelewe utaipata mbaya.
[emoji38][emoji38][emoji38]Manenge kula umwachie Mandawa 😀😀😀