Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,306
- 3,228
Ni malezi mabaya wazazi hawakemei ndo Mana mtoto wa saiz kila anayemuona anamzoea harakaUnazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Exactly mkuu watoto inabid waheshimu vitu ya mgeni na wawe na heshima na mgeni utakuw upo sebuleni unaangalia tv anakuja na kubadirisha channel anawek cartoonMara mtoto kachkua simu ya mgeni anataka aangalie katuni au acheze game na analia kabisa..spendi kama nn tabia mbovu
Nagombana na wanangu mapema sana kuhusu hilo niepukane na aibu hii Mbele ya mgeni sio heshima hata kidogo hata mtt kuzoea mgeni kupita kiasi sio vizuri Hawakawii kuuliza mgeni unaondoka lini..au unakula sanaExactly mkuu watoto inabid waheshimu vitu ya mgeni na wawe na heshima na mgeni utakuw upo sebuleni unaangalia tv anakuja na kubadirisha channel anawek cartoon
Unazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Mkuu Safi Sana malezi Bora ni muhimu tuwafundishe heshima na adabuNagombana na wanangu mapema sana kuhusu hilo niepukane na aibu hii Mbele ya mgeni sio heshima hata kidogo hata mtt kuzoea mgeni kupita kiasi sio vizuri Hawakawii kuuliza mgeni unaondoka lini..au unakula sana
Mkuu umbea umeanza kitambo mbona sis tulikuwa na heshimaHasa mgeni umepeleka tumbo tu na umbea umbea utegemee heshima kweli
......a very useful thread kama tutake it into actions, asilimia kubwa ya wazazI wa mid 80s and 90s wana kaulimbukeni ka maisha ya wazungu kalikosababishwa na maendeleo ya technolojia.....wazazi wanajiona wa kisasa na kwamba wanaishi kizungu Kwa kukaa nusu utupu mbele ya familia au watoto.......Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la
Mkuu umbea umeanza kitambo mbona sis tulikuwa na heshima
Exactly mkuu umeandika madini muhimu mkuu appreciate you🙌......a very useful thread kama tutake it into actions, asilimia kubwa ya wazazI wa mid 80s and 90s wana kaulimbukeni ka maisha ya wazungu kalikosababishwa na maendeleo ya technolojia.....wazazi wanajiona wa kisasa na kwamba wanaishi kizungu Kwa kukaa nusu utupu mbele ya familia au watoto.......hiyo ipo sana ndugu mtoa mada, wanawake wengi ndo wanapenda pigo za kushinda chumbani amevaa pant(kyupi) only na yuko na katoto kake kakiume.........na katoto unakaona kabisa kanajitambua fulani, lakini pia wengine utaona ameenda kuoga na ktoto kake kakiume bafuni........maadili yanavunjwa kwa kigezo kwamba hivyo ndo kuishi kishua na wengine huwa wanapost kabisa........
Be blessed Ms ceeNimependa ulipogusia kwa akina Baba..Uzi mzuri wenye macho na waone ..wasome waelewe.
Uwe na usiku mzuri.
Watani wa jadi😁Wewe uende kutembea sehemu halafu ujifanye shabiki wa simba damu wakati mtoto ni yanga damu lazima uvutwe shati na kuambiwa usile kwetu
Waje wasome na waelewaWanakuja wazazi wa kizazi cha dotcom
Uzungu mwingi tu kina junyia😁si ndo mnawaita kina junyia