Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mtoto analilia simu ya mgeni ase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ni mpango wa mama mtu ili afanye kubusti mauzoKuna mwingine hapa mama yake ana duka la reja reja....ukifika tu kwake,mtoto ataanza kukuganda umnunulie soda Mara bigboo,Mara juice,Mara biskut Mara nini, yaani unavunga wapi. Huku mama yake akimkodolea macho. Mpaka unaona Ainu unamnunulia huku mama yake akinyenyuka kwenda kumhudumia utadhani ni mteja. Fakini!!!!
Takitandikaa🤣Unazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Yaani toto lile bwana.Itakuwa ni mpango wa mama mtu ili afanye kubusti mauzo
😁😁😁😁 Ni fimbo tuMtoto analilia simu ya mgeni ase
Be blessed mkuuAsante kwa kutukumbusha Mkuu.
Dah nitaumwa mikono😁😁😁😁 Ni fimbo tu
Niliwahi kufika kwenye nyumba Fulani dogo alikuja na sindano anataka kunichoma mama yake akasema usikwepe atalia Sitasahau nilisepa hapohapo [emoji16]
Ungekafinyaa kimyakimya kasinge rudi tena kukuchezea,mi vitoto vya hivyo huwa navifinya kimyakimya huku Kama nacheza nako!!!Duuh niliwah kutana na hii aiseee ule mji sitorudi tena..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, Wife kastuka usingizini kwa bed. Ananiambia “endelea kuchekeshwa na malaya zako kwa simu”
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, Wife kastuka usingizini kwa bed. Ananiambia “endelea kuchekeshwa na malaya zako kwa simu”
Nakuunga mkono,ma single mama wengi wanawalea watoto wao ki hovyo sana,na kama ni mtoto wa kiume unaweza kufikia mahali ukahisi huyu anatembea na mwanae...Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi ndo anajiweka vizuri ni malezi gani kwa mtoto wa kiume wazazi hasa wamama wajitafakari.
Single mother na nyie mna yenu sio kwamba tunawasema Sana mbadilike malezi yenu uzungu mwingi. Kuna jirani yangu ni single mother mtoto wake kila anachotaka yeye ni kumnunulia asililie kitu mtoto yuko nursery school wiki nzima mtoto hataki kwenda shule na mama yake anamchekelea tu sio malezi tunawapenda watoto wetu tuwalee na tuwape malezi kwa limit, samahani Kama nimekukwaza ukweli lazima tuambiane.
Na sisi wakina baba tunakosea tushirikiane na wake zetu kwenye malezi Mambo yasiofaa tuyakemee na tuache tabia ya kuvaa nusu uchi upo sebulani umekaa na watoto zako wa kike umevaa kibukta afu uko tumbo wazi haipendezi.
Wazazi, walezi, walimu,viongozi wa dini nk tushirikiane kwenye malezi ya hawa watoto wetu. Usipo muona mtoto kwa muda au hayupo mazingira ya nyumbani jiulize Yuko wapi uko aliko yupo salama na anafanya Nini.
TV, simu ni muhimu kwa watoto kama watajifunza ya maana tusiwaachie tu watoto waangalie wanachotaka
Nakumbuka home kipindi tuko wadogo ni kosa kubwa umekutwa unaangalia channel za tv zisizo na maadili Kama Trace nk au umeweka cd, vhs zenye age above 18+ inafanya watoto wadogo wafanye Yale wanayoyaona kweny tv, cm nk
Mtoto wa siku akiamka asubuhi hasa siku za wikiend Cha Kwanza kwenye tv kaweka channel anayotaka anaangalia bila wasiwasi enzi zetu muda kuangalia tv ulikuwa ni saa 4 asubuhi baada kumaliza kazi.
Malezi bora ni msingi mzuri wa watoto wetu kataa kudekeza. Tuwalinde watoto wetu.
Hayo mambo ya kuhusu watu kujiweka utupu yanategemea, mila na jadi na mtu alipotokea. Wengi wa wakosa maadili utakuta wametokea kwenye familia zilizoacha kujifunza na kufunza vizazi vyao maadili kutokana na mafundisho ya dini.......a very useful thread kama tutake it into actions, asilimia kubwa ya wazazI wa mid 80s and 90s wana kaulimbukeni ka maisha ya wazungu kalikosababishwa na maendeleo ya technolojia.....wazazi wanajiona wa kisasa na kwamba wanaishi kizungu Kwa kukaa nusu utupu mbele ya familia au watoto.......hiyo ipo sana ndugu mtoa mada, wanawake wengi ndo wanapenda pigo za kushinda chumbani amevaa pant(kyupi) only na yuko na katoto kake kakiume.........na katoto unakaona kabisa kanajitambua fulani, lakini pia wengine utaona ameenda kuoga na ktoto kake kakiume bafuni........maadili yanavunjwa kwa kigezo kwamba hivyo ndo kuishi kishua na wengine huwa wanapost kabisa........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kufika kwenye nyumba Fulani dogo alikuja na sindano anataka kunichoma mama yake akasema usikwepe atalia Sitasahau nilisepa hapohapo [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, Wife kastuka usingizini kwa bed. Ananiambia “endelea kuchekeshwa na malaya zako kwa simu”
hivi kuoga na juniour mwisho umri gani??