Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

kuna limoja nilikuta linamsuka mwanaye wa kiume nywele ilinichukua muda sana kujua kwamba dogo ni ME baadaye likiwa bwabwa anaanza kwenda kutafuta mafuta ya alizeti kwa mwamposa, watu wamevurugwa sana maaneeneeer
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FaizaFoxy achaa udini, kuna watu hawajui hata dini ni Nini na wanawalea Watoto wao kwenye misingi mema ya adabu kwa Jamii! Swala la malezi ni general,usipende kusingizia Dini kila kitu!!!
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, itabidi uache wewe udini. Utaumia sana, Uislam na mimi ni kama bahari ya hindi na chumvi, hatuachani.
 
Hata mitaani, ofisini, makazini, etc.
Ushoga uko kila sehemu, ila sio single mama wanachangia.

Na hawa walio ktk familia ya wazazi wotee?
Single maza wanawalea watoto wa kiume kichoko choko sana angalia hata mastaa single maza watoto wao wa kiume ni mashoga kabisa

Sikatai pia hata walio katika familia za wazazi wote napo mashoga wamo
 
Inasikitisha sana...

Screen Shot 2023-03-27 at 10.26.05.png
 
Huyo mtoto anapata malezi mema. Ameshajifunza kuwa plate yake asimwachie mtu akambebea, na huko anaenda kuiosha mwenywe. Ulitaka plate yako akubebee nani?
Ulete ujuaji tena kwenye nyumba za watu na wewe ni mgeni. Hiyo plate unajua pa kuipeleka? FaizaFoxy hiyo kweli imekaa sawa
 
Back
Top Bottom