Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

Unazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Unamwambia mtoto, aache kukupandia pandia, mama'ke ataelewa kuwa hukubaliani na mambo hayo. Atakuelewa tu.
 
Huyo mtoto anapata malezi mema. Ameshajifunza kuwa plate yake asimwachie mtu akambebea, na huko anaenda kuiosha mwenywe. Ulitaka plate yako akubebee nani?
Acha ujinga wa magharaibi. Uliwahi kuona wapi mgeni anaosha vyombo katika hospitality ya kiafrica? Hata Ulaya ni Mila zilizokuja na exegerated liberalism. To be educated doesn't amount to being western. Watoto Lazima wafundishwe namna ya kuwatreat wageni.
 
Single maza wanawalea watoto wa kiume kichoko choko sana angalia hata mastaa single maza watoto wao wa kiume ni mashoga kabisa

Sikatai pia hata walio katika familia za wazazi wote napo mashoga wamo
Tatizo sio single mama, tatizo ni mwanaume aliyekataa mimba, ushoga unasababishwa na wanaume, either direct or indirect.

Msiwasingizie wanawakeee.
 
Acha ujinga wa magharaibi. Uliwahi kuona wapi mgeni anaosha vyombo katika hospitality ya kiafrica? Hata Ulaya ni Mila zilizokuja na exegerated liberalism. To be educated doesn't amount to being western. Watoto Lazima wafundishwe namna ya kuwatreat wageni.
Umeambiwa beba sahani yako beba.
Kama ni mgeni wa kuja na kuondoka utaambiwa, wacha usihangaike, kama ni ngeni wa kufikia hapo ndiyo uuelewe utaratibu wa hapo.
kama huwezi unaacha unaondoka, wacha ujuwaji wa kutaka kuwapangia watu maisha yao.
 
Sibebi na sukubeba. Siwapangii na hawanipangii
 
Tatizo sio single mama, tatizo ni mwanaume aliyekataa mimba, ushoga unasababishwa na wanaume, either direct or indirect.

Msiwasingizie wanawakeee.
Kuna ukweli ndani yake, hata wanaoanza kuwaharibu watoto ni wanaume.

Kiukweli hao ndiyo wa kuhukumiwa kwanza kabisa.
 
Usiassume mambo. Utamaduni wetu ni kuwaserve wageni. Wakija kwangu pia nawaserve. Mambo ya kufanyiwa unayotoa wapi?
Kwani mgeni kubeba sahani yake ndiyo kuto m-serve ? Walishe kabisa wageni wako, upo huru, lakini usipangie watu maisha yao.
 
Kwani mgeni kubeba sahani yake ndiyo kuto m-serve ? Walishe kabisa wageni wako, upo huru, lakini usipangie watu maisha yao.
Wewe mbona unanipangia . unanikataza kuwapangia watu kwa kinipangia nisiwapangie. Akili ndogo.
 
Wewe mbona unanipangia . unanikataza kuwapangia watu kwa kinipangia nisiwapangie. Akili ndogo.
Upo kwao ni mgeni, huwezi kuwa mgeni halafu ukampangia maisha aliyekukaribisha kwake.

Ukiwa kwako, hakuna ataekupangia maisha yako.
 
Exactly mkuu watoto inabid waheshimu vitu ya mgeni na wawe na heshima na mgeni utakuw upo sebuleni unaangalia tv anakuja na kubadirisha channel anawek cartoon
Dogo mmoja niko kwao nadiscuss kitu akaniambia shut up naangalia katuni.

Nikamwambia ntazima TV kama ndio inakupa jeuri akajibu "kwani siwezi kuwasha"

Nilichomoa adapter ya king'amuzi ukutani na hakuna aliyeniambia kitu
 
Ila na wew hapo ulikosea why ufanye ivyo
 
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, itabidi uache wewe udini. Utaumia sana, Uislam na mimi ni kama bahari ya hindi na chumvi, hatuachani.
Nenda kasome tafsiri ya neno "Udini" kwenye kamusi ya Kiswahili na utaeelewa namaanisha nini!!
 
Back
Top Bottom