Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Nasemaje ata ikiwezekana ukoo mzima wa familia zao zilipwe, maana hakuna namna 😭😭
 
kuna elimu ya utani,unafiki na uzandiki ilikua inatolewa CUBA nafikiri wewe hukubatika kuchaguliwa kusomea hii kozi?
πŸ˜‚πŸ˜‚Kama ametumia hiyo elimu sawa, ila kama anataka hawa watoto walipwe inabidi apewe BAN kabisa
 
Ni kweli kabisa naunga mkono hoja! Walipwe kabisa maana wanakosa upendo wa wazzazi muda mwingi maana upendo huo tunafaidi watanzania wote badala ya watoto wahusika…!

Napendekeza kabisa ikiwezekana muswada husika uende bungeni kipindi hiki au kikao kijacho ili kwa budget ijayo watoto waanze kulipwa mishahara na viinua migongo na ikiwezekana na mishahara yao ianzie million mbili kwa mwezi bila kukatwa kodi kabisa!
 
Chain itakuwa ndefu sana mkuu,unaweza kushangaa zali linanikuta hata mimi mlalahoi milimani huku tena kimasihara kabisa. The rest,tupige kazi ili ipatikane posho ya wakubwa. Roho mbaya haijengi[emoji3]
 
Halafu pia napendekeza Ili kutokomeza umasikini mijini masikini wote watokomezwe
 
Napendekeza hata nyumba ndogo za viongozi wakuu walipwe maana ndio wanaowapa faraja ya akili na mwili
 
Reactions: Cyb
Kuna watu Wana mawazo ya kipumbavu kweli hawakupaswa kufika hata mwaka 2000 wakiwa hai 😑😑
 
Wasiishie hapo, hata sie wajomba wa watoto wa viongozi tusisahaulike jamani, angalau ka VX kamoja kila baada ya miaka 7 kahusike 🀣 bila kusahau kamjengo ka uchumi wa kati.

Tunaadhirika sana kipindi cha kuozesha mabinti wetu tukiwa choka mbaya πŸ˜€
 
Naunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.

P
Umejaribu kuibadilisha nyeusi iwe nyeupe, kwangu haina maana yoyote

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
si hivyo tyuuuu.......

twendeni mbali zaidi ya hapo, tuwaangalie viongozi wetu kinzani wa milele, wasiopenda kung'atuka. Wanaipenda nchi yao sana.

Watumishi wa Mungu, viongozi wa jadi, mila na desturi. Hawa mi naona yafaa waingizwe kwenye mfumo wa kupata chochote kitu wa kiunua mgongongo.
Itasaidia saaanaaaa ...

Tunaweza na
Inawezekana.....
Asante ..
 
Ewaaaa. We ni Genius mkuu. Kama vipi na wewe ulipwe Kwa kubalance comment yako.[emoji3]!
Asante kwa mapendekezo ila vigezo sina Mimi ni maskini kwahiyo natakiwa nishinde na jua shambani ili ipatikane ya kuwalipa hao maviongozi na ndugu zao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…