Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

Mwezi wa 10 tampokea first born wangu .jembe lazma lichukue ata kisogo Changu asee DNA ya familia
hii [emoji81]
Angalia usije ukafanya mauaji, pale atakapofanana na wajomba zake
 
Tunaomba ufafanuzi
Kagua ukiona mjomba anajifanya kutoa upendo wa kufanana na baba... Anza ukaguzi mapema sana.
Kagua Sikio, Vidole, midomo ili siku unamrukia mtu vichwa E-DNA scanner ishafanya kazi vyema.
 
Kawaida mkuu katika watoto wote mimi ndo sijafanana na mzee wangu mamaangu aliamua kujipiga copy kuna kipindi mzee Alikuwa anapenda sana kutembea na mimi akikutana na mtu anamjua ananitambulisha kuwa mimi mwanae kilichokuwa kinamshangazi watu wakawa wanamkatalia kuwa mbona hujafananae huyu mtoto kabsa hapo ndo mzee alipokuwa anachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…