Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kuna Binamu yangu wa kiume amemlanda Mjomba wake urefu + sura + rangi ya ngozi + utembeaji + uongeaji hadi sauti.Wapo ambao hawana ufanano na baba
Wagiriki wako sahihi kabisa kwenye genetic materials la sivyo Watu tungekuwa tunauana balaa kisa tu wivu.